Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully Sykes

ruanganyi

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
115
Reaction score
34


Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu ambazo amezitoa leo.

Diamond ambaye wakati msiba huo unatokea alikuwa Zanzibar na mpenzi wake Zari, ameelezea sababu zilizomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi.

"Watu waliniona niko zanzibar lakini walikuwa hawajui nimeenda kufanya nini," Diamond

ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM. "Usiangalie kila unachokiona Instagram ukajua mtu labda kwasababu alikuwa anafanya starehe.

Niko katika kipindi ambacho sio kizuri kwangu mimi na familia yangu kwasababu kuna vitu ambavyo siwezi kuvizungumza lakini, na siwezi kuviweka kwenye media ndo maana watu wengine wanaweza kuniona nacheka lakini […kwanza mama yangu anaumwa na anaumwa sana sijawahi kulizungumza hili ndo nalizungumza hapa, hapa ninapoongea na wewe yupo India, kuna vitu vingi vinaendelea, siwezi kusema nilikuwa Zanzibar nafanya nini, inawezekana.

CHANZO: Rahatupu
 
Anatupiga fui tu huyu alikua anafanya nini ashindwe kula mwewe dakika sifuri aje kuhani kisha ageuze sie tunamdeku tu. Ngoja nimwite mfuasi wake Dinazarde amtetee
 
Last edited by a moderator:
Anatupiga fui tu huyu alikua anafanya nini ashindwe kula mwewe dakika sifuri aje kuhani kisha ageuze sie tunamdeku tu. Ngoja nimwite mfuasi wake Dinazarde amtetee

We kwenye huo msiba ulikwenda? msiba ulipangwa? Dully aligawa kadi? Wewe na Dully huwa mna hudhuria kila msiba? Mbona mna promote msiba kama show? Kwani ni lazima kwenda kwenye msiba? Ange kwenda kila msiba mngekuwa wa kwanza kusema ana kwenda kuuza sura...au anapenda kuonekana kila msiba! Hata Jk alivyo kuwa ana hudhuria misiba kuna baadhi mlianza kumkejeli kuwa anapenda misiba!

Kwanza huyo mfiwa ana watia aibu wale walio kwenda maana anaonesha kuwa wao hawana maana bali kuna watu alikuwa anataka waende!

Nimegundua kwenye hili kuna swala lingine zaidi ya msiba..


"Watanzania wengi ni wachawi sema hawajijui"
 
Last edited by a moderator:
Sa ndo sababu gani imetolewa hapo? Shule muhimu sana
 
Anatupiga fui tu huyu alikua anafanya nini ashindwe kula mwewe dakika sifuri aje kuhani kisha ageuze sie tunamdeku tu. Ngoja nimwite mfuasi wake Dinazarde amtetee

We ulienda msibani?
Eti "alishindwa kula mwewe"
Weye mbona ba mkubwa ako alivyofariki Morogoro ulishindwa kula Coster?
Acha ushabiki maandazi.
Waschana wenzio wamenyamaza.
 
Last edited by a moderator:
kweli dangote we ni msanii wa nchi duu yani mshikaji kamind utafikir wasanii wengine hawaja enda bhana dogo kaza una nyota kali
 
Watanzania acheni siasa za kijamaa, kwenda msibani ni maamuzi ya mtu. Kama mtu hajaja kwenye msiba wako na wewe usiende kwake.

Tunatakiwa tuanze kugawa kadi misibani, hawa free riders waende kujenga nchi sio kuja kushinda kwenye misiba ya watu hata wasiowahusu.
 
Anatupiga fui tu huyu alikua anafanya nini ashindwe kula mwewe dakika sifuri aje kuhani kisha ageuze sie tunamdeku tu. Ngoja nimwite mfuasi wake Dinazarde amtetee

Tupo busy na matatizo ya kifamilua misiba
 
Last edited by a moderator:
Tupo busy na matatizo ya kifamilia misiba tutakuja kuhani over.

umesema vyema.

kwa vile misiba ni ghafla, inawezekana kabisa diamond hakuweza kupata nafasi kuwahi kuzika.
hivyo basi safari yake itakuwa ya kuhani na hilo halijalishi kama ni siku mbili au wiki moja baadae. watu wanaenda kuhani hata baada ya mwaka kutokana na mazingira yanayowakabili.

nadhani ingekuwa sawa kumlaumu daimond kama ingekuwa amepewa kadi kwamba msiba utatokea siku fulani hivyo jipange kuhudhuria mazishi...
 
Niliwahi kumckia diamond akihojiwa na jabir saleh akasema dully ndio mtu aliyempangia ile sauti anayoimbia nyimbo zake
So what?! By the way, tangu lini mtu akampangia mwingine sauti ya kuimbia nyimbo zake? Sauti ya kuimbia au melody kwenye wimbo husika? Kama ndivyo, mbona ni jambo la kawaida kabisa kwa mwanamuziki kupangiwa melody na mtu mwingine... what's the big issue? By the way, why ONLY Diamond na sio wengine?
 
Sijapata kuona nchi ya watu wa hovyo kama Tanzania yetu! Yaani mtu analaumiwa kwa sababu hajaenda msibani! Yaani Diamond kumuita Dully kaka kwa kumuheshimu tu ingawaje sio kaka ake ndo ishakuwa nongwa!!! Kuna wasanii wangapi hawajaenda... WHY ONLY DIAMOND?! Hatutashangaa tukisikia kwamba Dully ndo kamtoa Diamond, upuuzi mtupu!!! Davido kushirikishwa kwenye My Number One, anataka anyenyekewe, Dully nae kuitwa kaka (wa heshima), ndo basi tena keshajiona ana haki kumlalamikia asie ndugu yake kutokwenda msibani... upuuzi mtupu, akili za kukosa kazi hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…