Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
unatakiwa ufaham huyu ni celebrity na pia ni rafiki wa mfiwa na msiba wenyewe ni baba, kitendo cha kua celebrity kunaendana na social responsibility ndio ma celebrity wa kibongo hawajui ilo, usiulize yy kama ameenda tunazungumzia celebrity diamond platinumz sio pangu pakavu kupata kuna mungu kama wewe!!!
Hii social responsibility ni kwa Diamond tu kwenda kwenye misiba, ila kwenda kumjulia hali mama wa Diamond siyo social responsibility?