Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully Sykes

Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully Sykes

unatakiwa ufaham huyu ni celebrity na pia ni rafiki wa mfiwa na msiba wenyewe ni baba, kitendo cha kua celebrity kunaendana na social responsibility ndio ma celebrity wa kibongo hawajui ilo, usiulize yy kama ameenda tunazungumzia celebrity diamond platinumz sio pangu pakavu kupata kuna mungu kama wewe!!!

Hii social responsibility ni kwa Diamond tu kwenda kwenye misiba, ila kwenda kumjulia hali mama wa Diamond siyo social responsibility?
 
Sasa kama upuuzi huu ana uongea mtu anayejifanya anampenda Diamond kweli? Huu ni unafiki kabisa ...Dully ni mjinga nani amemwambia kuwa Diamond hakuja kwasababu aliogopa kutoa hela? ina maana wote ambao hawakuja walihofia kuombwa hela na Dully! Dully amechanganyikiwa.

Mtu ameshakufa, hakuna namna ya kwamba atafufuka. Kwa nini yeye Dully asionyeshe uungwana kumchangia Diamond matibabu ya mama yake?
 
Hii social responsibility ni kwa Diamond tu kwenda kwenye misiba, ila kwenda kumjulia hali mama wa Diamond siyo social responsibility?

wanasubiri afe mkuu ndo waende
 
Kwa kweli ile na aliyoongea kwa TV makaburini/msibani kulalamika ni duh. Na Diamond nimemsoma alimpigia simu.

Kweli unavyosema ana yake zaidi...moja lazima kumchafua kasubiri chance ije kamwaga aliyotaka kumwaga tangu apange kumchafua achukiwe ashuke ....

huyu dully anaonekana mwanga! Maneno yoote hayo angetungia taarab
 
hata huyu dully anahitaji msemaji ili kuzuia kuropoka ropoka maneno ya kichawi muda wote😡

Dully wala haihitaji msemaji maana kwangu mimi si msanii bali ni mla unga na aliye changanyikiwa yani unaweza ukafikiri alikuwa ana mvizia Diamond!
 

Attachments

  • 1424542123911.jpg
    1424542123911.jpg
    69.9 KB · Views: 281
Diamond kila kitu ni habari! Yani jamaa kisa king hajatia nanga ndo kamaindi! Dah kweli umaarufu gunia la misumari!
 
Back
Top Bottom