Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
So what?! By the way, tangu lini mtu akampangia mwingine sauti ya kuimbia nyimbo zake? Sauti ya kuimbia au melody kwenye wimbo husika? Kama ndivyo, mbona ni jambo la kawaida kabisa kwa mwanamuziki kupangiwa melody na mtu mwingine... what's the big issue? By the way, why ONLY Diamond na sio wengine?
Ujawah kuckia msanii amepangiwa melody za kuimba itakua ujui chochote kuhusu mziki !!
Mwengine nani ?
Kwani dully amesema kua ameumia diamond kukosa kumzika baba ake ?
Dully kasema wasanii wana roho za ajabu kwa kushindwa kumpa sapoti katika safar ya mwisho ya mzee wake
Ila nyie mashabiki marboro mnayaweza