Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully Sykes


Ujawah kuckia msanii amepangiwa melody za kuimba itakua ujui chochote kuhusu mziki !!

Mwengine nani ?
Kwani dully amesema kua ameumia diamond kukosa kumzika baba ake ?

Dully kasema wasanii wana roho za ajabu kwa kushindwa kumpa sapoti katika safar ya mwisho ya mzee wake

Ila nyie mashabiki marboro mnayaweza
 
 
Hivi kwa akili yako unadhani unafahamu lolote kuhusu muziki? By the way, ni nani ametaja suala la melody kama sio mimi? Wewe umesema Dully ndie amempangia Diamond ile sauti anayoimbia... hivi ndo unafahamu muziki wewe? Mimi nikahoji, ndie amempangia sauti anayoimbia au alimpangia melody ya wimbo fulani... hivi unajua kusoma wewe? By the way, nikahoji, mbona ni jambo la kawaida sana mwanamuziki kupangiwa melody... hapo unahoji kwamba mwingine ni nani; then unasema unaufahamu muziki! Next time, tumia lugha mzuri... tafuta namba za kuwaleta lugha za hovyo hovyo na sio mimi... hunijui wala ckujui kwahiyo watch out your fingers while typing otherwise, utakuja kufahamu ni nani shabiki shabiki marboro kati yangu na yako! Sijakutolea lugha ya kashifa popote... SASA ENDELEA!
 

Sijui kusoma then najibuje ?

Utanifanya nn mpaka utake kunitisha hivyo !! Amua sasa nakuita tena ww ni shabiki marboro
 
Alafu dully ajamtaja dai ila watu wanalazimisha

Kauli yake na lawama zake zimechangia watu kuanza kumlaumu Diamond! Mfiwa badala ya kulia macho yote kumbe jicho moja anafanya sensa! Alitakiwa kushukuru walio fika ili waone ame amethamini kuja kwao..kumbe dully alihitaji watu fulani..unaweza kukuta kuna ndugu zake walishindwa kufika.
 
Sijui kusoma then najibuje ?

Utanifanya nn mpaka utake kunitisha hivyo !! Amua sasa nakuita tena ww ni shabiki marboro
we mseng'ge tu inawezekana unatafuta bwana akakufukue haja kubwa huko nyuma manake hata uongeaji wako tu ni kwa kichoko'choko! Eti nitakufanya nini... nikufanye nini mtu mwenyewe una tabia zote za kich'oko!!! Eti amua sasa... utafir'wa na misemo yako ya kicho'ko hiyo; mseng'e wahed wee!
 
Tatizo wakati dada yake dai anachezwa ngoma kule tandale dully hakwenda ndio maana dai nae kalipa...."usipokuja kwny shughuli ya dada angu na mm siji kwny msiba wa baba ako" uswazi ndio zetu....hahaaaa
 
we mseng'ge tu inawezekana unatafuta bwana akakufukue haja kubwa huko nyuma manake hata uongeaji wako tu ni kwa kichoko'choko! Eti nitakufanya nini... nikufanye nini mtu mwenyewe una tabia zote za kich'oko!!!
Jombaaaaa punguza jazba hapa mkizipiga sisi hatuamlii ohoooooo!!!!!
 

Ulimjuaje ms..nge kama na ww co mse,,nge jiangalie mdada utapakatwa na kuchapwa bila ndomu
 
We ulienda msibani?
Eti "alishindwa kula mwewe"
Weye mbona ba mkubwa ako alivyofariki Morogoro ulishindwa kula Coster?
Acha ushabiki maandazi.
Waschana wenzio wamenyamaza.

Acha mahabat nyege wewe mdada kama kakosea kubali tu alaf kinyeli inaisha sasa unavyotoka jasho kutetea upuuz huelewek au ndo simba ameenda mwezini
 
Jombaaaaa punguza jazba hapa mkizipiga sisi hatuamlii ohoooooo!!!!!
Dogo mpumbavu huyo... mie nimeandika kwa lugha ya kawaida kabisa yeye anaibuka from nowhere na kuniita shabiki marboro sa' kama si anatafuta shari ni nini!!! Mi nakuwa muungwana kwa muungwana lakini mtu akiniletea za kuleta, simkawishi!
 
Acha mahabat nyege wewe mdada kama kakosea kubali tu alaf kinyeli inaisha sasa unavyotoka jasho kutetea upuuz huelewek au ndo simba ameenda mwezini

Wewe bi mkubwa una hasira na maisha.
Njoo usijali umri wako bado unadai.
Nitafute ntakupeleka Bagamoyo.
Ntakuacha pale Pink Shark then me niendelee na shughuli zangu.
Nawaheahimu wamama kama wewe japo hutaki kutuheshimu wana wa mama wenzio.
 
Tatizo wakati dada yake dai anachezwa ngoma kule tandale dully hakwenda ndio maana dai nae kalipa...."usipokuja kwny shughuli ya dada angu na mm siji kwny msiba wa baba ako" uswazi ndio zetu....hahaaaa
Dully bhana kachemsha... busara ni kwamba, watu hawalaumu kwa mtu kutokuja kwenye msiba au majonzi bali wanalaumu kutohudhuria sherehe au harusi! Mtu unamlaumu mbona hukuja tukafurahi sote na sio kwanini hukuja tukalia wote... labda hajisikii uchungu kama wako!!!!Kama umefiwa halafu uliowategemea kuja hawakuja hutakiwi kulalamika hadharani bali unatakiwa tu kujua ndani ya nafsi yako kwamba kumbe niliokuwa nadhani ni wenzangu, sio wenzangu...
 
Mkuu Shark, WHY ONLY DIAMOND?! Nijibu hapo kwanza kabla hatujachambua mengine?

Chief ni kwamba mtu anapokua juu tunategemea awe mnyenyekevu kwa watu wengine ili maisha ya kitanzania yasonge. Kwa mfano rafiki yako mfano mbotoki kawa mke wa mfalme na wewe kuna siku unapata shida utategemea huyo bi mfalme ndo awe wa kwanza KUJA au sio
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…