Diamond atua Billboard kwa kishindo kizito

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Moja ya ndoto nyingi za mastaa kibao wa muziki ni kupata nafasi Billboard. Diamod amepata bahati hio baada ya kuandikwa kwenye makala ya mtandao huo wa BILLBOARD.

Katika picha ambayo imewekwa kwenye makala hiyo, Diamond amewekwa pamoja na wasanii wengine wanne kutoka Afrika Magaribi akiwemo Wizkid, Davido na Tiwa Savage.

Kwenye makala hiyo ambayo imewaonyesha wasanii hao inazungumzia juu ya lebo kubwa za muziki duniani zinavyoangazia Afrika kumpata staa ajaye wa Pop duniani.

Hilo limekuja ikiwa ni siku chache zimepita baada ya kampuni ya Universal Music Group ambayo pia inasimamia kazi za Diamond, kupitia tawi lake la nchini Uholanzi ilitangaza kununua hisa asilimia 70 za lebo ya AI Records ya nchini Kenya.

UMG watakuwa wanafanya kazi za kusambaza kazi za wasanii wa Al Records duniani kote ikiwemo kwenye mitandao mikubwa tofauti tofauti ya muziki.

We wish you all haters to have nice day !!
 
Hahahaaa hapo ulipomalizia sasaaa.AM ALSO WISHING THE HATERS TO FIND THE DEGREE OF HATING PEOPLE NOW
 
Do you think you snake me, cause they hate me? or he got his Ph.D; Player Hater's Degree?

Can't nobody take my pride, can't nobody hold me down ooh no, I got keep on moving...
 
Good kid[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…