Diamond atuzwa ufalme wa kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

#ETrending Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha #CloudsFm Bdozen amechagua kusimamishwa kazi kuliko kuacha kukisifia kile alichokifanya @diamondplatnumz usiku wa jana kwenye Tamasha la #AfricaDayBenefitConcert

Akiwa kwenye Kipindi cha XXL B Dozen amesikika akisema kuwa "Leo kama unanisimamisha kazi wewe nisimamishe ila Shout out kwa Almas men ameuwa sana", Dozen alimaliza kwa kicheko. Ikumbukwe kuwa Diamond kwa kiswahili ni Almas

Kwenye Tamasha hilo lililofanyikwa online kwa Tanzania tuliwakilishwa na @diamondplatnumz & @officialnandy. Diamond amepokea pongezi nyingi kwa kufanya kitu cha utofauti na wasanii wote wa Afrika ambapo aliimba live wimbo wake wa Jeje akiwa kwenye Jumba lake la Kifahari

This Post is powered by #TECNOSpark5 & @dropzonetz

#RickMedia
#NewsChamber
#EntertainmentChamber




Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu ifungulie Uzi hii habari mzee
 
ugomvi huu utawa cost sana mawingu, heri wayamalize tu
Diamond Ni Kama maji hakwepeki kwenye matangazo yupo kwenye mziki utamzungumza na kwenye maisha binafsi utayazungumzia mtu Kama huyu unaanzaje kuwa na bifu nae hiki kitu kinawarudisha Sana nyuma clouds.
 
 
"Wana ni diss alafu wana nikubali kiana.......wana ni kubali kiana..kubali kiana......."(Kwa sauti ya Chid )

Huyo ndiye Mondi " hapigiwi anacheza pakavu anateleza and you can't stop him sana sana atakupoteza......."

Ktk maisha hamana kitu kizuri kama kujua unachokifanya,kujua unachokitaka alafu ufanyeje ili upate unachokitaka ,hapa ndio Mondi anapo wapiga gap wenzake EA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…