Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namba 6 ni ya domo?
Hongera zake tho sikumbuki kama kuna mwaka jide amewahi kuchuja tangu enzi za machozi.
nazungumzia mfululizo bila kupumua sio kwa kuotea na hits zinazoishia sinza na posta kama yahaya na historia ndani ya miezi minne nyimbo mbili zote zimejambaa utafananisha na kesho au kamwambie nyimbo ina last mwaka mzima
Sasa wewe naona umeonyesha hisia zako kwa diamond na si ukweli haya huyo diamond anatuzo ngapi za nje kushinda jide?
We unataka kusema diamond peke yake ndio kamaintain kwenye game vipi Dully, Proffesa j, Fa na Ay hawa walianza mwaka jana eeh??? Kubali kuwa si diamond pekeyake ndo kamaintain game hata hao wakongwe pia wamejitahidi au unataka kutulazimisha kuwa Domo peke yake?
Ndio Domo hajachuja ila kumbuka si peke yake tu hata Jide, Jay, Fid Q, Ay, FA, na Dully ni wamuda tu lakini bado wana hit na wengine akina Jide na Ay wanatuzo hadi za nje means muziki wao hauishii sinza tu kama unavyodai kisa my number one imepigwa Mtv na Channel Ohuko nyimbo za akina Jide zilishapigwaga tangu enzi za machozi na ziliwahi kuwania tuzo kadhaa za Kora.

fid q mara ya mwisho katoa hit ni lini vile
hahahahah mie hoi kwenye diamondism tu!unamjua diamond na miaka 7 et? Umesahau miaka 16 ya duly sykes? Umesahau miaka 14 ya jide? Umesahau miaka 12 ya prof jay? We mgen sana kwny music, tena utakuwa umemalza form 4 2012 na umelewa diamondism
fid q mara ya mwisho katoa hit ni lini vile
wewe mvivu kufuatilia wanamziki wengine zaidi ya domo
mkuu umenielewa vibaya sana ngoja nikurudishe shule
hapa nazungumzia kuvunja record ya kua on top mwanzo mwisho bila kupotea kwa mda kama hao uliowataja ambao wanatoa nyimbo mwaka mpaka baada ya miaka miwili mfano dully ni kila baada ya miaka miwili....yeye ni mwanzo mwisho midomoni hakauki