Diamond avunja record

Diamond avunja record

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
miaka 7 ndani ya game bila kuchuja haijwaji kutokea katika historia ya mziki wa bongo kutoa hits kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfululizo
1.kamwambia 2008
2.mbagala
3.nitarejea
4.kesho
5.lala salama
6.muziki gani
7.number one 2014
na colabo za kutosha
 
Hahahaaa eti! DOMO

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Na Musa Mateja

CHALE 21 alizochanjwa mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond' zimewapa mshtuko watu wake wa karibu na kuanza kuzitafsiri katika matumizi mbalimbali, Ijumaa ‘Kubwa' linashuka kikamilifu.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, ishu ilitokea hivi karibuni jijini Dar es Salaam ambapo washikaji wa nyota huyo walimbaini jamaa ana chale mgongoni zisizopungua 21 katika maeneo mawili.

Chanzo kikadai kwamba, Diamond alichanjwa chale hizo na mganga mmoja maarufu wa mjini Bagamoyo Mkoani Pwani ambaye jina lake halikupatikana mara moja.

NI CHALE ZA NINI?

Chanzo kikaanika kweupe kuwa chale hizo ndizo zinazomsaidia msanii huyo kung'ara kwa kila wimbo anaoutunga na kuupeleka kwa mashabiki wake na pia kuwa na mvuto kwa mademu ambapo wanamshobokea (wanampapatikia).

"Unajua wenzake wanasema zile chale zinamsadia jamaa kwenye nyimbo zake kuwa bora, lakini pia zinamfanya apendwe na mademu, we si unaona mwenyewe?" kilisema chanzo.

KUHUSU NYIMBO ZAKE

Mpaka sasa Diamond ameshaipua albamu moja ya Mbagala ambayo ina nyimbo vigongo kama Mbagala, Nenda Kamwambie na Moyo Wangu.

MADEMU JE?

Diamond ameshadaiwa kuwa na uhuasiano wa kimapenzi na mastaa na wasio mastaa watano Bongo ambapo amewahi kukiri na kukataa.

Mastaa hao ni Rehema Fabian (Miss Kiswahili 2008), Jacqueline Wolper (msanii wa filamu), Upendo Moshi ‘Pendo' (Mshiriki wa Maisha Plus), Natasha (msanii wa nyimbo za Bongo Fleva) na sasa Wema Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006 ambaye amevishwa pete ya uchumba miezi miwili iliyopita.

Pendo aliwahi kukaririwa na gazeti moja la Global Publishers akimtaka Wolper aachane na Diamond kwa sababu ni mtu wake. Hata hivyo, Wolper alikanusha kuwa na uhusiano na msanii huyo akisema hajawahi kutoka naye na kuonya watu kumzushia ingawa kulikuwepo na ushahidi wa kimazingira na mahali walipokutania wawili hao. Pendo alitoa shutuma hizo baada ya kusoma kwenye gazeti kuwa, Diamond na Wolper wanadaiwa kuwa wapenzi.

Wakati huo kasi ya Diomond kuwa staa wa nyimbo za Bongo Fleva ikipamba moto. Rehema pia mara kadhaa amewahi kuanika uhusiano wake na msanii huyo akidai yeye ndiye wa kwanza, wengine wamedandia kwa mbele. Natasha yeye aliwahi kuweka wazi kwamba anamfahamu vizuri Diamond na pia anampenda sana bila kufafanua zaidi.

KAULI KUTOKA KINYWA CHA DIAMOND

Sheria ya uandishi inakataza kuchapisha habari ambayo mhusika hajapewa nafasi ya kuzungumza, hivyo Ijumaa lilimtafuta Diamond, lilipompata lilimsomea madai yote kisha likampa nafasi ya kufafanua.

Diamond: Si kweli bwana, chale kweli ninazo ila sababu siyo eti nyimbo zangu zing'are au mademu wanishobokee.

Ijumaa: Sasa ukweli ni upi?

Diamond: Nilipokuwa mtoto niliwahi kusumbuliwa sana na ugonjwa wa kichomi cha mara kwa mara, ikafika wakati nikapelekwa kwa tabibu wa tiba asilia ndiyo nikachanjwa chale. Kwahiyo nimekua nazo. "Kama ni kuhusu nyimbo zangu kufanya vizuri, binadamu lazima waseme kila penye mafanikio. Kama kazi nzuri kwanini isikubalike. Pia mimi sishobokewi na mademu, nakutana nao kama wanavyokutana na wengine.
___________________________
 
Hongera zake tho sikumbuki kama kuna mwaka jide amewahi kuchuja tangu enzi za machozi.

nazungumzia mfululizo bila kupumua sio kwa kuotea na hits zinazoishia sinza na posta kama yahaya na historia ndani ya miezi minne nyimbo mbili zote zimejambaa utafananisha na kesho au kamwambie nyimbo ina last mwaka mzima
 
jamani kila mtu anachoice yake kikubwa sikubeza ni kuwatia moyo wazidi kufanya vizuri.tupende vya nyumbani wakuu.kuwabeza wasanii wetu sijambo la busara hata kidogo.sifunzeni kwa wanigeria hata waende nnje utasikia wanasikiliza nyimbo za kwao na hata kwenye magari yao uweka nyimbo za kwako.roho za kwanini hazijengi.
 
nazungumzia mfululizo bila kupumua sio kwa kuotea na hits zinazoishia sinza na posta kama yahaya na historia ndani ya miezi minne nyimbo mbili zote zimejambaa utafananisha na kesho au kamwambie nyimbo ina last mwaka mzima

Sasa wewe naona umeonyesha hisia zako kwa diamond na si ukweli haya huyo diamond anatuzo ngapi za nje kushinda jide?

We unataka kusema diamond peke yake ndio kamaintain kwenye game vipi Dully, Proffesa j, Fa na Ay hawa walianza mwaka jana eeh??? Kubali kuwa si diamond pekeyake ndo kamaintain game hata hao wakongwe pia wamejitahidi au unataka kutulazimisha kuwa Domo peke yake?

Ndio Domo hajachuja ila kumbuka si peke yake tu hata Jide, Jay, Fid Q, Ay, FA, na Dully ni wamuda tu lakini bado wana hit na wengine akina Jide na Ay wanatuzo hadi za nje means muziki wao hauishii sinza tu kama unavyodai kisa my number one imepigwa Mtv na Channel Ohuko nyimbo za akina Jide zilishapigwaga tangu enzi za machozi na ziliwahi kuwania tuzo kadhaa za Kora.
 
mkuu umenielewa vibaya sana ngoja nikurudishe shule
hapa nazungumzia kuvunja record ya kua on top mwanzo mwisho bila kupotea kwa mda kama hao uliowataja ambao wanatoa nyimbo mwaka mpaka baada ya miaka miwili mfano dully ni kila baada ya miaka miwili....yeye ni mwanzo mwisho midomoni hakauki
 
fid q mara ya mwisho katoa hit ni lini vile
 
unamjua diamond na miaka 7 et? Umesahau miaka 16 ya duly sykes? Umesahau miaka 14 ya jide? Umesahau miaka 12 ya prof jay? We mgen sana kwny music, tena utakuwa umemalza form 4 2012 na umelewa diamondism
hahahahah mie hoi kwenye diamondism tu!
 
mkuu umenielewa vibaya sana ngoja nikurudishe shule
hapa nazungumzia kuvunja record ya kua on top mwanzo mwisho bila kupotea kwa mda kama hao uliowataja ambao wanatoa nyimbo mwaka mpaka baada ya miaka miwili mfano dully ni kila baada ya miaka miwili....yeye ni mwanzo mwisho midomoni hakauki

Dully tu huyo Jide hujamsikia au.. We sema una Diamondphobia.
 
Back
Top Bottom