Dully tu huyo Jide hujamsikia au.. We sema una Diamondphobia.
unamjua diamond na miaka 7 et? Umesahau miaka 16 ya duly sykes? Umesahau miaka 14 ya jide? Umesahau miaka 12 ya prof jay? We mgen sana kwny music, tena utakuwa umemalza form 4 2012 na umelewa diamondism
hapa nazungumzia kuwa on top mfululizo hakuna masnii huyo bongo hizo nyimbo zote ziwai kushika number moja kwenye chati ya bongo hao uliowataja wanakuja na kupata up and down sana sio kukaa mda mrefu nazungumzia kuachia hitz everyday kabinti special imekaa hewani mda gani kamili gado je hata watoto wadogo hawazikumbuki nimeanza kufuatilia mziki tangu enzi za nigga jay 2proud d rope na enzi hizo jd kabint ka pale jitegemee kabla hajaanza kutoa mimba za ruge
tatizo sio kusikika tatizo unasikikaje mtu kama qchief katoa nyimbo nying sana zaidi ya kumi but sio masive hits mtu kama chid nae hivyo hivyi lady jay dee anafanya poa lakini diamond anakimbiza jay dee katoa yahaya na historia ndani miezi mitatu watu washazika mazima
hapa nazungumzia kuwa on top mfululizo hakuna masnii huyo bongo hizo nyimbo zote ziwai kushika number moja kwenye chati ya bongo hao uliowataja wanakuja na kupata up and down sana sio kukaa mda mrefu nazungumzia kuachia hitz everyday kabinti special imekaa hewani mda gani kamili gado je hata watoto wadogo hawazikumbuki nimeanza kufuatilia mziki tangu enzi za nigga jay 2proud d rope na enzi hizo jd kabint ka pale jitegemee kabla hajaanza kutoa mimba za ruge
nafatilia sana kama juma nature profesa fa na nk
Ahaa sasa umeshasema kuwa nia yako ni kuwashindanisha na kusema Jide na Domo nani mkali na sio hiyo nia uliyosema ya kumaintain kwenye game coz umesha admit wote wame maintain ila wewe ulitaka tu kusema ya moyoni kuwa Domo mkali.

kama hesabu hazipandi panga visoda kisha chora kuanzia 2008 weka kisoda kimoja 2009 ,2010,2011,2012,2013,2014
Miaka 6 hiyo acha uboya,alafu kamwambie ilitoka 2008 au 2009?,unatufanya watoto sio
hakuna msanii wa bongo aliwai kukaa kwenye number one kwa miaka saba mfululizo wengi lazima wakae kimya mwaka au miaka ndio waje na joint kubwa muziki una wakongwe ambayo huwezi kuwashindanisha na mtu kama jd jay afande hao wana heshima yao lakini domo kavunja record ya kushine miaka saba bila kuchuja
ni kawaida tu hata kwenye soka messi anavunja record kibao but still yeye ni good kid japo kuna legendary kwenye mpira wenye heshima kubwa elewa plz
kama hesabu hazipandi panga visoda kisha chora kuanzia 2008 weka kisoda kimoja 2009 ,2010,2011,2012,2013,2014