Diamond avunja record

Diamond avunja record

Dully tu huyo Jide hujamsikia au.. We sema una Diamondphobia.

tatizo sio kusikika tatizo unasikikaje mtu kama qchief katoa nyimbo nying sana zaidi ya kumi but sio masive hits mtu kama chid nae hivyo hivyi lady jay dee anafanya poa lakini diamond anakimbiza jay dee katoa yahaya na historia ndani miezi mitatu watu washazika mazima
 
unamjua diamond na miaka 7 et? Umesahau miaka 16 ya duly sykes? Umesahau miaka 14 ya jide? Umesahau miaka 12 ya prof jay? We mgen sana kwny music, tena utakuwa umemalza form 4 2012 na umelewa diamondism

hapa nazungumzia kuwa on top mfululizo hakuna masnii huyo bongo hizo nyimbo zote ziwai kushika number moja kwenye chati ya bongo hao uliowataja wanakuja na kupata up and down sana sio kukaa mda mrefu nazungumzia kuachia hitz everyday kabinti special imekaa hewani mda gani kamili gado je hata watoto wadogo hawazikumbuki nimeanza kufuatilia mziki tangu enzi za nigga jay 2proud d rope na enzi hizo jd kabint ka pale jitegemee kabla hajaanza kutoa mimba za ruge
 
Nampenda Diamond, Jide yuko vizuri pia shida yake ni moja ana lile tatizo la superiority complex
 
hapa nazungumzia kuwa on top mfululizo hakuna masnii huyo bongo hizo nyimbo zote ziwai kushika number moja kwenye chati ya bongo hao uliowataja wanakuja na kupata up and down sana sio kukaa mda mrefu nazungumzia kuachia hitz everyday kabinti special imekaa hewani mda gani kamili gado je hata watoto wadogo hawazikumbuki nimeanza kufuatilia mziki tangu enzi za nigga jay 2proud d rope na enzi hizo jd kabint ka pale jitegemee kabla hajaanza kutoa mimba za ruge

Kumbe nd0 maana jide hazai,RUGE amekimaliza kizazi ch0te kwa kutupa wat0t0!
 
tatizo sio kusikika tatizo unasikikaje mtu kama qchief katoa nyimbo nying sana zaidi ya kumi but sio masive hits mtu kama chid nae hivyo hivyi lady jay dee anafanya poa lakini diamond anakimbiza jay dee katoa yahaya na historia ndani miezi mitatu watu washazika mazima

Ahaa sasa umeshasema kuwa nia yako ni kuwashindanisha na kusema Jide na Domo nani mkali na sio hiyo nia uliyosema ya kumaintain kwenye game coz umesha admit wote wame maintain ila wewe ulitaka tu kusema ya moyoni kuwa Domo mkali.
 
hapa nazungumzia kuwa on top mfululizo hakuna masnii huyo bongo hizo nyimbo zote ziwai kushika number moja kwenye chati ya bongo hao uliowataja wanakuja na kupata up and down sana sio kukaa mda mrefu nazungumzia kuachia hitz everyday kabinti special imekaa hewani mda gani kamili gado je hata watoto wadogo hawazikumbuki nimeanza kufuatilia mziki tangu enzi za nigga jay 2proud d rope na enzi hizo jd kabint ka pale jitegemee kabla hajaanza kutoa mimba za ruge

Waongo utawajua tu nakupenda sifa waonekane wanawajua watu kiundani si bora ungeuliza nani kakuambia Jide kasoma Jitegemee huo uongo kawadanganye walio nje ya Tz maana hata watz wa mikoani wanaweza jua kasoma wapi kama hujui historia ya mtu bora ukae kimya kuliko kujifanya mjuaji.
 
Ahaa sasa umeshasema kuwa nia yako ni kuwashindanisha na kusema Jide na Domo nani mkali na sio hiyo nia uliyosema ya kumaintain kwenye game coz umesha admit wote wame maintain ila wewe ulitaka tu kusema ya moyoni kuwa Domo mkali.

hakuna msanii wa bongo aliwai kukaa kwenye number one kwa miaka saba mfululizo wengi lazima wakae kimya mwaka au miaka ndio waje na joint kubwa muziki una wakongwe ambayo huwezi kuwashindanisha na mtu kama jd jay afande hao wana heshima yao lakini domo kavunja record ya kushine miaka saba bila kuchuja
ni kawaida tu hata kwenye soka messi anavunja record kibao but still yeye ni good kid japo kuna legendary kwenye mpira wenye heshima kubwa elewa plz
 
kama hesabu hazipandi panga visoda kisha chora kuanzia 2008 weka kisoda kimoja 2009 ,2010,2011,2012,2013,2014

Miaka 6 hiyo acha uboya,alafu kamwambie ilitoka 2008 au 2009?,unatufanya watoto sio
 
hakuna msanii wa bongo aliwai kukaa kwenye number one kwa miaka saba mfululizo wengi lazima wakae kimya mwaka au miaka ndio waje na joint kubwa muziki una wakongwe ambayo huwezi kuwashindanisha na mtu kama jd jay afande hao wana heshima yao lakini domo kavunja record ya kushine miaka saba bila kuchuja
ni kawaida tu hata kwenye soka messi anavunja record kibao but still yeye ni good kid japo kuna legendary kwenye mpira wenye heshima kubwa elewa plz

We mbona unakwepa hayo mengine mara jide kasoma jitegemee wapiii alafu kamwambie imeanza kuhit 2009 tena mwishoni hiyo 2008 labda alikuwa anakuimbia wewe peke yako.
 
Labda alianza kumwimbia yeye maana kamwambie nimeanza kuisikia 2009 mwishoni

kamwambie ilianza kisikika kabla ya 2009 na jamaa nyota ilianza kuwaka rasmi tangu enzi za ngoma yake ya jisachi na geez mabovu
 
kama hesabu hazipandi panga visoda kisha chora kuanzia 2008 weka kisoda kimoja 2009 ,2010,2011,2012,2013,2014

Kamwambie ilitoka 2009 kwenye mwezi wa nane,ikaanza kutamba mwezi wa 9.So kama kweli unajua hesabu anza kukokotoa kuanzia hapo mwezi wa 9 utaona jinsi gani unavyojaribu kutudanganya,kwa mujibu wa mahesabu yangu hata miaka mi5 haijafika.But still nampongeza,hata kama ni miaka minne kumaintain on top si kazi ndogo!
 
Back
Top Bottom