Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

sasa kiba aogope nn tena huyo msanii wenu angerushiwa makopo ashukuru akifanya show na kiba c tunadunda tu ----- huyo anachezea watoto wa k/koo nyambafuu

Ndo mtindo wa kiba huo ila mnakumbuka TIGO music mlirusha makopo tukanza kuwarushia elfu 2 mkaanza kugombania so nyie rusheni makopo sie tutawarushia elfu 2 mtaacha tu
 
Mbona me cjandika kwa jazba y niwe n jazba sema nakupa facts take it easy

we unafacts au ni vurugu tu zako ww watu wametulia yule dogo anapelekwa sana na kina tale hayo mambo ndo yalimfanya agombano na nature anataka anavyotaka yeye exploiter manager
 
mbona diamond alisema atazindua tv yake mpaka leo hatuioni hivyo vitu ni kutafuta attention ya mashabiki tu basi

Kwanza tuna deal n earphones chibu beats kwanza TV alisema atazidua lini
 
kiba hana njaa na anafanya mziki kipaji ndo maana hayupo sirious kwani c aliitwa arusha na lowasa akachomoa huyo wanapiga pesa kina babu tale tu

'Mziki kipaji'
'Hayuko serious'
Mburula wewe
 
we unafacts au ni vurugu tu zako ww watu wametulia yule dogo anapelekwa sana na kina tale hayo mambo ndo yalimfanya agombano na nature anataka anavyotaka yeye exploiter manager

Tarehe 8/8 2015 Kuna shoo ya juma nature n diamond tanga waligombana nini kwani
 
Ndo mtindo wa kiba huo ila mnakumbuka TIGO music mlirusha makopo tukanza kuwarushia elfu 2 mkaanza kugombania so nyie rusheni makopo sie tutawarushia elfu 2 mtaacha tu

waliokota ni mashabiki wa diamond sio wa kiba cc hatuna njaa hizo
 
'Mziki kipaji'
'Hayuko serious'
Mburula wewe

we unaona yupo serious mwaka huu ndo anaanza kufanya mziki rasmi nyimbo mbili za kiba na 15 za diamond we huoni utofauti hapo
 
Kibo10

Yeye yupo kazin na ww usifanye kaz basi mwez huu wote
 
Last edited by a moderator:
Kwanza tuna deal n earphones chibu beats kwanza TV alisema atazidua lini

ndo maana nikasema we unajibu kwa hasira sio facts wakati alivyoenda cloudz kuhojiwa kwa zari black party alisema ataanzisha tv nenda kaaangalie interview kwa millard ayo utaikuta
 
Kwan TV unadhani unaanzisha tu kesho ukiamkaa Una TV ina hijati mda ww
 
Tarehe 8/8 2015 Kuna shoo ya juma nature n diamond tanga waligombana nini kwani

c umeona sasa unavyokurupuka unamjua ummykitwana ?? dogo hujui vitu ww ngoja nikuache wale kina tale matapeli wale wanakufanya unakua maarufu ila pesa hawakupi z anto mb dog keisha ferooz ask them about exploiter of diamond managers ???
 
Diamond ana jielewa ww huyu mb Dogg alidhulumiwa lini mbona alirudi kuomba kurudi kwa tale km alikuwa Ana dhulumiwa
 
Mbona makopo yaliachwa kutupwa lakini n ww uliokota elfu 2

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mi mbona diamond namkubali siwezi mrushia makopo yule nawapenda wote ila kiba ndo saaanaa#good music
 
c umeona sasa unavyokurupuka unamjua ummykitwana ?? dogo hujui vitu ww ngoja nikuache wale kina tale matapeli wale wanakufanya unakua maarufu ila pesa hawakupi z anto mb dog keisha ferooz ask them about exploiter of diamond managers ???

Ummy kitwana kafanya nn ndo kawapatanisha juma n diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…