Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

lazima tofauti iwepo mwingine msanii wa kimataifa anayeng'ara vilivyo mwingine ndio kwanza anaanza safari ya kuchezwa video trace..

Mwingine analipwa m10 mwingine m60 japokuwa wanaperform jukwaa moja

Mwngine anashow nyingi kupitiliza mwingine za kutaftiza...

😀😀😀😀 sawa team diamond mnambwembwe saaanaa nyie ila huu mwaka huu utasema sana mara et anataka ashushwe mara kadhulumiwa tuzo ilimradi na yeye aonekane mnyonge diamond ila ukweli ni kwamba kila kitu na wakati wake
 
Kwanza ukitaka kuwaona hawa watu ni WANAFIKI waliopitiliza mbona hawamsema kingkiba ambae yuko Coke Studio na ramdhani hii?!

Kule COKE STUDIO wanasoma Quran na kutia Uradi pamoja na kukesha usiku wa Laylatul-qadir si ndio???tena anaimba na kucheza na wanawake kila siku lakini kwa kua wao ndio wakamilifu na hawana dhambi wameufyata mkia kimyaaa!!

Unafiki ukizidi sana unazaa ujinga na umasikini!!
Singida tumamaliza tunasonga mbele!!!!hapo VEPEEEEEEEE??????View attachment 266642

nilijua lazima livie nguo ya juu (behind the scene) kila show lazima afanye hivyo mysterious moment from diamond
 
Mungu hubaki kua Mungu akisema hiki ni dhambi jua ni dhambi na adhabu yake ipo wala habdilishi, sasa ni juu yako kuchunguza au usichunguze ipi dhambi lakn pamoja na kujifariji kwetu huko et ooh kila ki2 tukichunguza n dhambi mwisho wa siku Mungu anasimamia amri yake. Kwahyo mkuu usijidanganye wala kujifariji njia n moja tu kufuata amri na ndio maana vitabu vinasema watakaoingia mbingun n wachache sana kuliko wale wa moton.

Point yako ya msingi ni ipi? Kwenye hizo amri za Mungu wenu ndo aliwaambia kufanya mziki ni dhambi!? Umeniqoute bila kuelewa nilikuwa naongea nini na naongea na nani na kwasababu gani, Btw mwenzio ashasepa bado wewe!
 
mkuu hayo mambo yaacheni ni ya kiimani zaidi kila mtu na maamuzi yake mana mtu atazikwa mwenyewe na atabeba mzigo wake

Kwa Dunia ya Leo Dmond yupo sahihi sana, Maandiko yana sisitiza kufanya kazi halali.
 
Mziki ni kazi ya anasa,Ndio maana madisco yameajiri watu na yanafungwa ni anasa
Acha kukariri ndugu... kuna baadhi ya imani hata kwenye misiba yao wanapiga muziki, kwahiyo unataka kusema wanapiga kwa ajili ya anasa? Yaani bado unashindwa kutofautisha kati ya muziki unaopigwa kwa maana ya anasa kama inavyokuwa kwenye ma-disko na muziki unaopigwa kwa ajili ya kuhamasisha watu kama huo wa kwenye mikutano?! But all in all, kama anatenda dhambi or othewise, hudhani hilo ni lake yeye ni Mungu wake?
 
Leo instagram huko mi nacheka tuu!maana hata wakina mrekebishatabia leo wanajifanya wanamjua mungu!nimecheka sana sana sana sana leo!eti muislamu mzima anakatika viuno ramadhani hii"Hivi cheketua imeachiwa lini jamani si ramadhani hii hii?!coke studio wameenda lini kama sio ramadhani hii

Diamond leo amejua kunikomeshea watu wallah tena!!sio kwa kujaza uwanja kule khaaaaa!!
 
Anachokifanya mond ndio mfumo wa maisha unavyotakiwa.wakat wao wanaongea ww unaingiza mpunga kwa Mara ya mwisho mnakutana uzeeni.piga kazi bila kujali maneno ya watu.
 
Watu bhana....
Watu walienda pale kwa ajili ya mkutano daimond alikuwa extra kwanza ata watu walikuwa hawajui.
Nashangaa na kwa lowasa watu walijitutumua eti dai kajaza uwanja.
Mpaka mkutano unaanza hamna aliyekuwa anajua kuwa daimond angekuwepo watu tulishangaa tuu mtu huyo so ukumbi ulijaa kwa ajili ya lowasa na sio daimond..
Kick nyingine bhana upuuziii tuu.
 
Be wiser than other people if you can but dont tell them,trust me utatumia muda wako mwingi kuwaelewesha jambo dogo kama hili.
 
Back
Top Bottom