Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

Be wiser than other people if you can but dont tell them,trust me utatumia muda wako mwingi kuwaelewesha jambo dogo kama hili.

Ni kweli kabisa mkuu!lakini hili tangazo lilibandikwa karibia kila kona ya singida!Instagram account nyingi zilikuwa na hili tangazo,mbona watu walikua wanajua kila kitu kuhusu mkutano??
 
Attachments

  • 1436426660826.jpg
    1436426660826.jpg
    70.5 KB · Views: 244
Watu bhana....
Watu walienda pale kwa ajili ya mkutano daimond alikuwa extra kwanza ata watu walikuwa hawajui.
Nashangaa na kwa lowasa watu walijitutumua eti dai kajaza uwanja.
Mpaka mkutano unaanza hamna aliyekuwa anajua kuwa daimond angekuwepo watu tulishangaa tuu mtu huyo so ukumbi ulijaa kwa ajili ya lowasa na sio daimond..
Kick nyingine bhana upuuziii tuu.

Inawezekana upo sahihi cute be, Mimi kwetu ni Singida japo siishi huko, Ninachotaka kukuambia ni kwamba mikutano ya moo haijazagi hivyo hata siku moja trust me, unachotakiwa kujua kuwa tarehe ya mkutano ilitangazwa, yakaandaliwa matangazo, picha za diamond ziliwekwa kwenye matangazo, kwahiyo watu wengi (sio wote) walienda wakijua exactly wanachokifuata. Huo ndo ukweli hata kama huutaki!
 
Last edited by a moderator:

Kwa singida labla mamy....
Ila kwa Arusha ule umati ulijaa kwa ajili Ya lowasa.
Nilikuwa Arusha that day na nilienda adi kweny huo mkutano hamna aliyekuwa anajua ujio wa daimond kabisaa but baada ya daimond kuja watu wakaanza kupost kuwa dai kajaza umati.
Kwa singida sijui ila nimechukulia mfano wa Arusha yawezekana watu walienda pale kwa ajili ya mkutano but watu wanasema ni sababu ya daimond
 
Kwa lowasa hapana, kwasababu ule ulikuwa mkutano wa kutangaza nia, watu walitoka mikoa mbalimbali kwenda kumsupport lowasa, hao wanaosema diamond alijaza uwanja kwa lowasa siwezi kuwaelewa hata kidogo, ila ndo tukumbuke mashabiki tunatofautiana uelewa so tuvumiliane tu!
 
Ni kweli kabisa mkuu!lakini hili tangazo lilibandikwa karibia kila kona ya singida!Instagram account nyingi zilikuwa na hili tangazo,mbona watu walikua wanajua kila kitu kuhusu mkutano??

Aisee mtani acha izo kwani wew upo singida???
 
Kwa singida labla mamy....
Ila kwa Arusha ule umati ulijaa kwa ajili Ya lowasa.
Nilikuwa Arusha that day na nilienda adi kweny huo mkutano hamna aliyekuwa anajua ujio wa daimond kabisaa but baada ya daimond kuja watu wakaanza kupost kuwa dai kajaza umati.
Kwa singida sijui ila nimechukulia mfano wa Arusha yawezekana watu walienda pale kwa ajili ya mkutano but watu wanasema ni sababu ya daimond

Kusema 'hakuna aliyekuwa anajua ujio wa Diamond' inaonyesha kiwango gani cha uongo ulichonacho, how sure you are? Mbona unajaribu kuisemea mioyo ya watu, kama wewe hukuwa unajua usitake na wengine wawe hivyo. Mimi binafsi japo nipo Bukoba karibu na Uganda huku ila nilijua kwamba Diamond atapafom sikuhiyo, maana hadi kwenye magazeti ya Shigongo yaliandika namna gani mamvi alivyojiandaa kumwaga mpunga kwa dogo ili aje kwenye mkutano wake
 
Aisee mtani acha izo kwani wew upo singida???

Sasa hapo!Sikuhizi nafanya biashara ya kuku mwenzangu naenda kuwachukua singida nawauza Arusha hapa,mpaka kieleweke!ahahahahaa mwanamke ujasiriamali bibi wee!nikaviona hivyo vipeperushi kibao vimebandikwa mjini,we mtani huoni watoto na vijana walikua wengi jana?
 
Hahahahaaaaaa umeacha ile kazi ya kuuza mirungi mtani? Au kwa ajili ni mwezi mtukufu? Biashara ya kuku inalipa vyema eee? Nikopeshe mtaji mtani.
Vipi na kwa lowasa palikuwa na vipeperushi? Hahahaaa
 
Kusema 'hakuna aliyekuwa anajua ujio wa Diamond' inaonyesha kiwango gani cha uongo ulichonacho, how sure you are? Mbona unajaribu kuisemea mioyo ya watu, kama wewe hukuwa unajua usitake na wengine wawe hivyo. Mimi binafsi japo nipo Bukoba karibu na Uganda huku ila nilijua kwamba Diamond atapafom sikuhiyo, maana hadi kwenye magazeti ya Shigongo yaliandika namna gani mamvi alivyojiandaa kumwaga mpunga kwa dogo ili aje kwenye mkutano wake

Elewa ivyo ivyo full stop
 
Kwa lowasa hapana, kwasababu ule ulikuwa mkutano wa kutangaza nia, watu walitoka mikoa mbalimbali kwenda kumsupport lowasa, hao wanaosema diamond alijaza uwanja kwa lowasa siwezi kuwaelewa hata kidogo, ila ndo tukumbuke mashabiki tunatofautiana uelewa so tuvumiliane tu!

:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
Yaan umwemwaga point adi natamani nikubusu hahahaa.
Kweli mashabiki tumetofautiana uwezo wa kufikiri na ikiwa wengi tunaponzwa na magazeti ya shigongo.
 
Nakumbuka hakutajwa kuwa anakuja na Diamond hakupost kuwa atakuwa kwenye huo mkytano...
Huu wa Singida ulikuwa kwenye ratiba zake kabisa

Asante mkuu.
Sasa huyo anayejiita wa bukoba sijui alisoma magazeti ya wapi. Kwanza shigongo yupi maana izo habari ziliandikwa kesho yake after mkutano.
Kwa singida sikujua ila nili refer Arusha
 
Hahahahaaaaaa umeacha ile kazi ya kuuza mirungi mtani? Au kwa ajili ni mwezi mtukufu? Biashara ya kuku inalipa vyema eee? Nikopeshe mtaji mtani.
Vipi na kwa lowasa palikuwa na vipeperushi? Hahahaaa

ahahahaa!!mirungi mwenzangu police watanishika bureee!kuku wanalipa haswaaa,chakufurahisha zaidi nawajaza mwenyewe kwenye kirikuu changu na naendesha mwenyewe mpaka A-town,
Mpaka likizo kuisha nitakua le Millionea hakyamungu mtani!

We zungumzia ishu ya jana ya Lowasa ilishaexpiry,hakukua na vipeperushi lakini watu walivyoanza kusikia mziki wa platnum unapigwa Geti zote zilikua hazipitiki!waligombania mlango kama hawana akili nzuri kuingia ndani
 
Hahahaaa aya bhanaaaaa mtani.
Nangoja uwe le milionea na mimi nipone
 
ahahahaa!!mirungi mwenzangu police watanishika bureee!kuku wanalipa haswaaa,chakufurahisha zaidi nawajaza mwenyewe kwenye kirikuu changu na naendesha mwenyewe mpaka A-town,
Mpaka likizo kuisha nitakua le Millionea hakyamungu mtani!

We zungumzia ishu ya jana ya Lowasa ilishaexpiry,hakukua na vipeperushi lakini watu walivyoanza kusikia mziki wa platnum unapigwa Geti zote zilikua hazipitiki!waligombania mlango kama hawana akili nzuri kuingia ndani

Hahahaaa hapo kwenye kuwajaza kuku kwenye ki-kirikuu na kukiendesha mwenyewe ndo uliponivunja mbavu lol!
 
teh!teh!teh!teh!ukiwapa madereva waendeshe wanajifanya mara ooh!kuku mmoja aliruka njiani,au utasikia tulikamatwa na traffic tukawapa kuku watano ndio tukaachiwa!!ahahaha yaani majanga!!bora niendeshe mwenyewe na kuwajaza mwenyewe kwenye gari!!!
 
Back
Top Bottom