Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

teh!teh!teh!teh!ukiwapa madereva waendeshe wanajifanya mara ooh!kuku mmoja aliruka njiani,au utasikia tulikamatwa na traffic tukawapa kuku watano ndio tukaachiwa!!ahahaha yaani majanga!!bora niendeshe mwenyewe na kuwajaza mwenyewe kwenye gari!!!

Sante sante santeee weeeeeeeee, papers chaser ama nene!
 
Watu bhana....
Watu walienda pale kwa ajili ya mkutano daimond alikuwa extra kwanza ata watu walikuwa hawajui.
Nashangaa na kwa lowasa watu walijitutumua eti dai kajaza uwanja.
Mpaka mkutano unaanza hamna aliyekuwa anajua kuwa daimond angekuwepo watu tulishangaa tuu mtu huyo so ukumbi ulijaa kwa ajili ya lowasa na sio daimond..
Kick nyingine bhana upuuziii tuu.
Na uhakika huna account ya insta kama unayo ungemfollow daimond ungebahatika kuona matangazo ya show week kabla ya tukio na ukumbuke dunia ya leo habar zinasambaa kama upepo
 
Na uhakika huna account ya insta kama unayo ungemfollow daimond ungebahatika kuona matangazo ya show week kabla ya tukio na ukumbuke dunia ya leo habar zinasambaa kama upepo

Ebu na wew kwenda uko. Maana ata huelewi kinachoendelea...kwani ni lazma nimfollow? Kwa kifupi nina account na nilimfollow akaniblock kuna kingine?
 
Hivi na kaswida sio muziki?..au we mwenzangu tafsiri ya mziki ni bongo flavour?...acha ubwe....g.e......ile ni kazi na kama ni dini na imani yako peleka kwa wanao coz diamond akujui na wala hamsaidii kutafuta hela chupi....mwache atafute pesa ya kwenda hijja na ww endelea kushinda msikitini ala atafikiria kuja kukufuturisha....

Kama hujui maswala ya uislamu,,, usiingilie hutaja kujikuta inatukana. "Ala" ndo nini? keep kimya.
 
Mwezi mtukufu watu hawafanyi kazi? Diamond yupo kazini na anaingiza pesa.

Kwani wewe kama umefunga unaacha kwenda kazini ati unasubiri mwezi uishe!! Acheni dogo apige kazi zake bana!!

Viuno ni kazi kwake si vinginevyo...
 
mfalme wa pop rais wa jamhuri ya bongo flava chibu dangote

ahahaha!wana singidani jan hawakuamini macho yao kama mfalme yuko kwao!!!cheki walivyoshangaaa
 

Attachments

  • 1436443317080.jpg
    1436443317080.jpg
    66.7 KB · Views: 187
Asante mkuu.
Sasa huyo anayejiita wa bukoba sijui alisoma magazeti ya wapi. Kwanza shigongo yupi maana izo habari ziliandikwa kesho yake after mkutano.
Kwa singida sikujua ila nili refer Arusha

Wewe ni mshabiki mstaarabu sana na mwelewa pia..laity kama mashabiki wenzako wote wa team kiba wagekuwa kama wewe hakika hizi team zingekuwa na manufaa makubwa sana kwenye kuukuza muziki wetu.
 
Kwa akili hii acha ccm waendelee kututawala... Mungu wa ramadhani tu.

Hata mimi huwa nashangaa sana MUNGU ananyenyekewa zaidi wakati wa ramadhani halafu ikiisha ni kuruka viduku kwa kwenda mbele hahahaha watu wanafiki sana ...

Yaani ramadhani ikiisha MUNGU atajiju khaaa!! ....watu wanautani na mwenyezi MUNGU.
 
Hivi kumbe huruhusiwi tu kutenda dhambi mwezi mtukufu na kwaresma tu?Tuache unafiki kama mziki ni anasa uwe anasa kwa miezi yote 12.Eti mungu anaabudiwa tu wakati wa mfungo na baada ya hapo bureeeeeeee!
 
Thubutuuu!!hajakukuta kwenye Zone yako hakyamungu atatengua hiyo kauli yake!ahahahaa halafu umeitikia kama kweli vile mstaarabu teh teh teh teh

Hahahahaaaaahaaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........
Mbavu zangu jamaniii... umenifanya nicheke kama chiziiii kila mtu ananishangaaaaa....
Wewe unataka kubishana na msema kweli? Itakuwa kanifuatilia sehemu kibao ndo maana kaja kunitunukuuuu.
Hahahaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaahaaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........
Mbavu zangu jamaniii... umenifanya nicheke kama chiziiii kila mtu ananishangaaaaa....
Wewe unataka kubishana na msema kweli? Itakuwa kanifuatilia sehemu kibao ndo maana kaja kunitunukuuuu.
Hahahaaaaaaaaaaaa

ahahaa!Nakwambia hakujui vizuri huyo!!siku akijua ataomba poo
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mshabiki mstaarabu sana na mwelewa pia..laity kama mashabiki wenzako wote wa team kiba wagekuwa kama wewe hakika hizi team zingekuwa na manufaa makubwa sana kwenye kuukuza muziki wetu.
cute b hana noma anaelewa sana situation ilivyo but ni mtu wao sometime anawalostisha cheki hapo chini
 

Attachments

  • 1436452618556.jpg
    1436452618556.jpg
    6.6 KB · Views: 455
Last edited by a moderator:
Mwenye mamlaka ya kumuhukumu mtu ni mwenyezi Mungu (S.W.A) pekee.Pia upande wa pili wanasema usihukumu usije ukahukumiwa.
Ni dhambi au sio dhambi tumuachie yey mwenye mamlaka.
Dini ni pana kuliko tunavyozijua.Na mbaya zaid sis tulioletewa hiz dini ndo tunaziishi kuliko hata waliotuletea.
Kwa kuongezea pia,kuna sheria za Dini na Sheria za M/Mungu.Ni busara kupembua hiv vitu.

Ya kaisari aachiwe kaisari.
 
Back
Top Bottom