Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Halafu afya zao zinafanana nadhan ndo maana wakampa huyo mbwa apige nae picha maana wameona ndo hadhi yake, nyie akina nelly wanavyotufanya mmh sina hamu, na huyo ndomo si arudi Tz tu? Hofu yangu asije kupitiliza tu mda wa visa yakamkuta kama kahaba wake mama ubaya, maana na yeye sasa ivi ulaya anapasikia instagram tu.
siku hizi wamarekani minimum stay wanatoa 1 year multiple viza na inasaidia sana mtu mwenye tripu mfululizo kutokuomba viza kila safari.
Kwa uo mwaka wenzio wabongo kwa uko ulaya wanaona wiki mbili, unajua mtu raha zikikuzidia hutaman hata kuhesabu siku unataman uendelee tu kula bata mwisho wa siku unajikuta umekaa miaka mitatu usa. Maana wabongo wanayaweza
Kwa uo mwaka wenzio wabongo kwa uko ulaya wanaona wiki mbili, unajua mtu raha zikikuzidia hutaman hata kuhesabu siku unataman uendelee tu kula bata mwisho wa siku unajikuta umekaa miaka mitatu usa. Maana wabongo wanayaweza
Hiyo pesa si bora angemalizia nyumbaaaa huyo mbwaa mwenyewee
Sifa za kijinga kutoka kwa wapambe mandazi.
Hao wanakera sana,unakutana wengine wanalala mtaani,akikuona mweusi anakufuata anakuuliza we umetokea nchi gani?aisee kama we mtanzania ukakutana na mtaanzania atajifanya anajua sana kuhusu Tanzania na moyo wa huruma walio nao,mwisho anakuomba hela,ukimwonyesha unapokaa ndo utakuwa umefanya kosaujinga tu unawasumbuwa kwa sababu hawafikii hotel bali kwenye apartment za wabongo with free lunch, kukaa sehemu huingizi pesa ni ujinga tu bora uje ukwaluwe show za mtwara uingize kiasi cha mboga.
Habari nyingine za huyu dogo sasa zinakera
Mbwa bei ya verosa?au mmejisahau mkajuwa na sisi ulaya na marekani hatufiki?
Mbona ndio maisha yangu huko unadanganya watu peupe tena enzi hizi.
Huhuhuhu...I see u shardcoleSifa za kijinga kutoka kwa wapambe mandazi.
My kibo10...its jokn huh!!!usiumize kichwaaa!!njoo niku-massage yoh head...bwahahahaa mtoa mada umenikosha sana