Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Halafu afya zao zinafanana nadhan ndo maana wakampa huyo mbwa apige nae picha maana wameona ndo hadhi yake, nyie akina nelly wanavyotufanya mmh sina hamu, na huyo ndomo si arudi Tz tu? Hofu yangu asije kupitiliza tu mda wa visa yakamkuta kama kahaba wake mama ubaya, maana na yeye sasa ivi ulaya anapasikia instagram tu.
siku hizi wamarekani minimum stay wanatoa 1 year multiple viza na inasaidia sana mtu mwenye tripu mfululizo kutokuomba viza kila safari.