Hahahshahahahahshahah
Hahahahhahahahahahahahahaha
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Kila anachofanya, kawa Mtanzania wa kwanza!
Sijui kama anaikumbuka ramadhan...naona yuko bichi na doggy...ndo maana kofia yake imeandika nuts he is nut hehehehe
duh! shekhe utapigwaUyu si muislamu?uyo dogi na ramadhan hii vp
Mbwa mwenyewe kajikondea,misifa ya kijinga tu!
mbwa wa diamond ha ha what goes around comes around
View attachment 168691
Wazungu walimshangaa sana kwa muonekano wake wa kisupastaa na bei ya mbwa huyo ilivyo ghali ambapo inaaminika kwa bongo inaweza kutosha kununua verossa.
Big up Dangote platinum...haters watakoma mwaka huu.
Huyu mleta mada hajui kuna wengine wafugaji wa hii kitu, huyu mbwa jamii yake anaitwa Great Dane. Hapa bongo kuna mfugaji mmoja tu ninayemjua anayefanya biashara kuwauza yupo kigamboni. Mbwa hata dola 1000 hafiki akiwa mdogo, akiwa nkubwa labda 1500-2000. Hiyo Verossa ya mwaka gani jamaa anasema? mleta mada anajua hata baiskeli inauzwa shilongi ngapi? labda akadanganye vijijini ndani ndani sana, sio jf au town hapa...Habari nyingine za huyu dogo sasa zinakera
Mbwa bei ya verosa?au mmejisahau mkajuwa na sisi ulaya na marekani hatufiki?
Mbona ndio maisha yangu huko unadanganya watu peupe tena enzi hizi.