Diamond awa mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa fukwe za mbali

Diamond awa mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa fukwe za mbali

Sijui kama anaikumbuka ramadhan...naona yuko bichi na doggy...ndo maana kofia yake imeandika nuts he is nut hehehehe
 
Sijui kama anaikumbuka ramadhan...naona yuko bichi na doggy...ndo maana kofia yake imeandika nuts he is nut hehehehe

Asipoangalia akirudi tz atapewa talaka na chief creature we mwache tu agawegawe hovyo.
 
Hakuna kitu ninachokichukia maishani mwangu kama mbwa
 
tourism hiyo, wakija kwetu wanapiga picha na simba na sisi tukienda kwao tunapiga picha na koko!
 
Kweli mtoa mada punguani kabisa yn umekosa kabisa jambo la kufikiri


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
View attachment 168691

Wazungu walimshangaa sana kwa muonekano wake wa kisupastaa na bei ya mbwa huyo ilivyo ghali ambapo inaaminika kwa bongo inaweza kutosha kununua verossa.

Big up Dangote platinum...haters watakoma mwaka huu.


kuna mzungu nyuma yake anashangaa jinsi Mbwa wa siku hizi wanavyoweza kusimama na mguu mmoja nyuma ya mwenzie...
 
Eti wazungu wamshangaa!kwa hiyo wazungu wakishangaa ndio usupastaa?Si bure wewe mi mmoja wapo wa anaowapiga pumb.u
 
Watanzania tume jaa matongo tongo ya ushamba
 
Habari nyingine za huyu dogo sasa zinakera
Mbwa bei ya verosa?au mmejisahau mkajuwa na sisi ulaya na marekani hatufiki?
Mbona ndio maisha yangu huko unadanganya watu peupe tena enzi hizi.
Huyu mleta mada hajui kuna wengine wafugaji wa hii kitu, huyu mbwa jamii yake anaitwa Great Dane. Hapa bongo kuna mfugaji mmoja tu ninayemjua anayefanya biashara kuwauza yupo kigamboni. Mbwa hata dola 1000 hafiki akiwa mdogo, akiwa nkubwa labda 1500-2000. Hiyo Verossa ya mwaka gani jamaa anasema? mleta mada anajua hata baiskeli inauzwa shilongi ngapi? labda akadanganye vijijini ndani ndani sana, sio jf au town hapa...
 
Back
Top Bottom