View attachment 168691
Wazungu walimshangaa sana kwa muonekano wake wa kisupastaa na bei ya mbwa huyo ilivyo ghali ambapo inaaminika kwa bongo inaweza kutosha kununua verossa.
Big up Dangote platinum...haters watakoma mwaka huu.
Wazungu hawana muda wa kushangaa mtu anatembea na mbwa wazungu huvutiwa na akili zaidi ya mtu wakiongea na wewe wakijua uko fit upstairs wanakuheshimu hii ya vitu umevaa nini unaendesha nini au una mbwa unapita naye ni wamarekani weusi ndo utawavutia wazungu hawana huo muda they have seen all sio mtu ana mbwa awe wa kushangaza wazungu, first of all Diamond is not even a nigga ambaye kwa wazungu ana hadhi kuliko mwafrika