Diamond awa mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa fukwe za mbali

Diamond awa mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa fukwe za mbali

View attachment 168691

Wazungu walimshangaa sana kwa muonekano wake wa kisupastaa na bei ya mbwa huyo ilivyo ghali ambapo inaaminika kwa bongo inaweza kutosha kununua verossa.

Big up Dangote platinum...haters watakoma mwaka huu.

Wazungu hawana muda wa kushangaa mtu anatembea na mbwa wazungu huvutiwa na akili zaidi ya mtu wakiongea na wewe wakijua uko fit upstairs wanakuheshimu hii ya vitu umevaa nini unaendesha nini au una mbwa unapita naye ni wamarekani weusi ndo utawavutia wazungu hawana huo muda they have seen all sio mtu ana mbwa awe wa kushangaza wazungu, first of all Diamond is not even a nigga ambaye kwa wazungu ana hadhi kuliko mwafrika
 
Jibwa lenyewe mbona kama la Manzese hivi.....
 
Yale yale masuala ya kuiga bila kufikiri kama muziki wake. Huyu domo ni muislam na waislam na mbwa tofauti bcs of mashetwani/machuma ulete yao wayafugayo.
 
Huo uwongo unataka kusema wabeba mabox wa L.A wa kibongo hamna mwenye dog hata 1.?
 
Mmh huyo mbwa mbn hata kwetu yupo

Huyu mbwa ni aina ya Greyhound walifugwa na kuzalishwa kwa ajili ya mashindano huko ulaya na Marekani ya kaskazini maana ni wembamba na wana miguu mirefu yenye nguvu nafikiri Afrika hatuna, Afrika tuna German Shepherd maarufu kama mbwa wa polisi ambao hata mie nawapenda wako cute na wanafanana na mbwa mwitu
 
hyo domo aliomba kupiga naye picha tu
 
oh God help me!
mtanzania wa kwanza kufanya niini?
 
View attachment 168691

Wazungu walimshangaa sana kwa muonekano wake wa kisupastaa na bei ya mbwa huyo ilivyo ghali ambapo inaaminika kwa bongo inaweza kutosha kununua verossa.

Big up Dangote platinum...haters watakoma mwaka huu.

Mbona havai bring bring zake huko???? Chezeya wanyamwezi
 
Mungu anajua kama mleta mada anatuongopea ama laa!
Bei ya mbwa = Verossa?????

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mbwa wa kuazima naye awatie kiwewe!! Hay a mambo ya mbwa kawaulize security sisi hatuwajui
 
Back
Top Bottom