Diamond awa mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa fukwe za mbali

Ngoja nikuulize jambo moja! Hivi unafahamu ni kwanini mtu anaweza kutoka Posta (Dar) hadi Kimara kwa mguu na wala asidhuriwe... na anaweza kufanya safari za namna hiyo mara kadhaa na bado akawa salama hata kama yeye si mpiganaji hodari? Kama hufahamu, sababu ni kwamba duniani watu wema ni wengi kuliko waovu vingenevyo usingeweza kufika hata jangwani!

Kwa upande mwingine, hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini hujawahi kuta watu wamekunya mbele ya mlango wenu ingawaje ni rahisi kufanya hivyo wakati mmelala? Kama hufahamu ni kwamba watu wenye roho za chuki na kuendeshwa na chuki duniani ni wachache kuliko wasiotaka kuendeshwa na chuki.

Ukifahamu hilo utagundua hata nyie wenye chuki na kumwombea mabaya Diamond ni wachache kuliko wanaomuombea mema kwa sababu watu wanaosukumwa na kuishi ndani ya chuki dhidi ya watu wengine mpo wachache. Ukifahamu hilo, utagundua kwamba mnajidhalilisha mbele ya macho ya waungwana! Mtu muungwana hata akosewe namna gani katu hawezi kumtakia mabaya yule aliyemkosea seuze nyie ambao Diamond hajawakosea chochote lakini tu mnaona akipata ataringa... eti atawatambia, aaaaargh! Unataka kusema wewe upo karibu na Diamond hadi uone akipata atakutambia???!!!

LAKINI mmefika kiwango cha kutia aibu pale mnapotunga hadithi humu jamvini kisa tu kutaka kumchafua!!! Mungu angekuwa ni mwenye kusikiliza dua za watu kama nyie basi pasingekuwepo na mwenye mafanikio lakini kv staili ya dua zenu anayezipa nguvu ni shetani na Mungu ndie mwenye nguvu kuliko shetani basi wala msitarajie kwamba mtafanikiwa!!! Kwa sie wa-Islamu tunaamini mwenyezi wa Ramadhani Shetan anapigwa minyororo kwahiyo hata msaidizi wa dua zenu chafu hataweza kuwasaidia!!!!

Nimalizie tu kusema kwamba, kwa staili ya uandishi wako, unaonekana bado u kijana, probably under 30... kama ndivyo, basi am afraid ukiwa unasukumwa na kuishi kwenye chuki wakati ukiwa kijana mdogo, basi ukiwa mzee utakuwa mchawi.... Shetani ni uhaini wake wote huwa anamwombea mwanadamu afanikiwe katika mambo yake kv anaamini kufanikiwa kwake ndiko ambako kunaweza kumrahisishia kazi ya kumpoteza! Sasa wewe katika hili unamzidi hadi shetani!!

Usilie sasa,,
 
pole sana Mtanzania mwenzangu kwa kuumizwa na uzi huu...oh this is very bad..anyway swaumu inaendeleaje ?
 
Pole angeenda mkomazi akanunua digidigi na kupiganae picha kisha ampelekee mama ndomo akamfanye kitoweo!
 
hahaha mtanzania wa kwanza to do waaaaat..ivi hili nalo ni la kuweka rekodi jmn
 
Back
Top Bottom