Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukae chini na popcorn movie ndo kwanza inaanza, safari hii Wema akiachwa sijui atakuwa na hali gani
Katika vitu ambavyo huwa nashindwa kuvielewa ni hili la Jokate kwenda kumpanulia Diamond, Sasa hivi nimedharau hata wanawake wengine maana maana naamini with Cash wamebaki wanawake wachache sana wenye msimamo wa kutompanulia mtu kwa ajili ya pesa au umaarufu wakati hana qualities unazozitaka.Jokate hadi kuingia ubongo was fleva na degree yake ni kufulia my dear. Hata kumdate domo ni ucheap pia
Sidhani kama jojo kafulia. Na hata akifulia hatafikia level ya Wema ya kufulia. I admit kuwa alibugi kudate na domo, but alikung'uta mavumbi akasonga mbele. Jojo is multi-talented na anajitambua, hatokosa kitu cha kumuweka mjini.
Wema amekupandikiza vvw, supastaa anatoka na demu wa vigodoro, hata huko marekani wangekupa tuzo wangekuta umeziangusha tandale au uwanja wa fisi,
Ndio alivyojibu yaan nimekopi post yake kama ilivyo...ni aibu jamni
Ndio alivyojibu yaan nimekopi post yake kama ilivyo...ni aibu jamni
Hiyo para ya mwisho kumbe hizo ni sifa mbili tofauti?
mi ningeanza kulivua pendo
ndo maana kasema haoi
wema jamani kisoma hajui hata picha haoni!?????
Katika vitu ambavyo huwa nashindwa kuvielewa ni hili la Jokate kwenda kumpanulia Diamond, Sasa hivi nimedharau hata wanawake wengine maana maana naamini with Cash wamebaki wanawake wachache sana wenye msimamo wa kutompanulia mtu kwa ajili ya pesa au umaarufu wakati hana qualities unazozitaka.
mi ningeanza kulivua pendo
ndo maana kasema haoi
wema jamani kisoma hajui hata picha haoni!?????