Diamond awajibu Team Wema

Diamond awajibu Team Wema

Tukae chini na popcorn movie ndo kwanza inaanza, safari hii Wema akiachwa sijui atakuwa na hali gani
 
Ila bora Diamond kawapa ukweli kwani wema hana akili au ajitambui kiasi hicho
 
Naona alichojibu kiko directed zaidi kwa Wema na sio hizo team.Ameonyesha mambo matatu.1-kuwa wema anamarafiki wabaya.2-anapenda starehe au unywaji wa pombe.3-hapendi kufanya kazi.Ninauhakika ile message hata wema haijamfurahisha.Kamwita huyo msanii wenu...inamaana hajui jina lake?...ukisoma kwa makini ile message utaelewa naongelea nini.Wema needs to strike while the iron is still hot!!!!!!:flame:
 
Habari ndio hiyo hao walutaka Diamond amfunge kama wema ama?
 
Attachments

  • 1408044188686.jpg
    1408044188686.jpg
    106.9 KB · Views: 1,146
Wema amekupandikiza vvw, supastaa anatoka na demu wa vigodoro, hata huko marekani wangekupa tuzo wangekuta umeziangusha tandale au uwanja wa fisi,
 
  • Thanks
Reactions: amu
Tukae chini na popcorn movie ndo kwanza inaanza, safari hii Wema akiachwa sijui atakuwa na hali gani

Popcon za sukari na azam tropical juice hahahaha mtaa wa pili wataweka sherehe
 
Jokate hadi kuingia ubongo was fleva na degree yake ni kufulia my dear. Hata kumdate domo ni ucheap pia
Katika vitu ambavyo huwa nashindwa kuvielewa ni hili la Jokate kwenda kumpanulia Diamond, Sasa hivi nimedharau hata wanawake wengine maana maana naamini with Cash wamebaki wanawake wachache sana wenye msimamo wa kutompanulia mtu kwa ajili ya pesa au umaarufu wakati hana qualities unazozitaka.
 
Sidhani kama jojo kafulia. Na hata akifulia hatafikia level ya Wema ya kufulia. I admit kuwa alibugi kudate na domo, but alikung'uta mavumbi akasonga mbele. Jojo is multi-talented na anajitambua, hatokosa kitu cha kumuweka mjini.

Dah ni kweli na jojo shule inamsaidia sana hata kweny
kufanya mambo yake ila Wema nilikuwa nampenda ila sasa sifa zikamzidi na team yake eti ana nyota kali hataki kujishughulisha anasubiriwa kupewa abadilike wanaume wahongaji adimu lazima wakuchoke
 
Katika vitu ambavyo huwa nashindwa kuvielewa ni hili la Jokate kwenda kumpanulia Diamond, Sasa hivi nimedharau hata wanawake wengine maana maana naamini with Cash wamebaki wanawake wachache sana wenye msimamo wa kutompanulia mtu kwa ajili ya pesa au umaarufu wakati hana qualities unazozitaka.

Jokate nilikuwa namuona wa maana baada ya kutoka na domo ndipo alipojishusha hadhi kwa watu wengi
 
Back
Top Bottom