Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Weeeeee ushabiki maandazii hata kama ntiwe hamira siumukii ng'ooooooooo,,,,,,siweziiiiii angekua mume wangu au ndugu yangu ningeendaaa aku niwaachee

Sio vizur hivyo binamu, wewe si kila siku ulikuwa unamsifia ndomo leo imekuwaje tena? Mmh makubwa aya kumbe team ndomo nyie wanafiki eeh?
 
hivi jide hajachukua tuzo kwa sababu naona kama vile hayupo kila mtu diamond,diamond mpaka inashangaza anapewa sifa mmoja mwingine anapotezewa.
 
alaf acha dharau mimi jina langu Abdalah hemidu msogoti na naishi masaki.na uwache wivu kama wa dada yako.
 
Afu mbona huyu tu ndo anatangazwa maana magazeti ya shigongo na redio mawingu wanemuongelea Diamond tu kama Jide hajashinda.
Afu pia inaonesha hizo tuzo hazina hela ndefu ndio maana Jide hakwenda ifata ukute hata nauli alizolipia kuifata ni kubwa kuliko thamani ya tuzo
wewe! diamond dangote anajua muziki ni pamoja na biashara! anapokuwa kule anatumia chance hiyo kujuana na wasanii wa nje, pia hubadilishana nao mawazo! jide hata tuzo za bongo hadhuriagi! kwa mtazamo finyu jide kafanikiwa kuliko diamond kimuziki lakini kiuhalisia diamond kafunika coz anamda mfupi kwenye gemu!!!! wanamfananisha diamond na mr nice ni mburula!
 
Nnampongeza kwa kupata tuzo hizo ila hili suala la kumpokea asivimbe kichwaaa na kujiona yeye ndo yeye.

kawaomba mwenzenu, maana sio mnampongeza tu kwenye instagram, anatak muonyeshe ushabiki wa kweli, si ni saa nne usiku tu pale airport
 
Aya wewe Dinazarde si shabiki wa ndomo wewe? Ndo uje uku dar mwenzio kawaomba mkapokee airport anakuja kesho saa nne usiku, sasa sijui kama mtalipiwa na nauli za kwenda na kurudi au ndo ntolee na kazi mnayo mwaka huu
Cc : zavi, geniveros, Heaven on Earth, lusungo, amu, TATIANA, ROBERT MICHAEL, Matola, matumbo, qn of sheba, princess sayuni, Lady kims, maatope, Mrembo by Nature, Madame B

Da inabidi waende mashabiki maandazi mi sina mda huo tena wamuandalie na kigodoro kabisa watakaoenda inabidi awalipie nauli la sivo mie kwangu ni wastage of time bora ni bonji zangu
 
Last edited by a moderator:
He makubwa nimejibu kutokana na hoja husika. Ya bwana wenu yamekujaje tena JD ni mwimbaji mzuri na nampenda sana pia aweke muda wake nitaenda pia. Hebu acha mawazo mgando! Kufikiria ngono tu!

Ahahaha sasa apo nimefikiria ngono kivip? Kusema ndomo bwana ako au? Ahaha umenifuraisha sana
 
hivi jide hajachukua tuzo kwa sababu naona kama vile hayupo kila mtu diamond,diamond mpaka inashangaza anapewa sifa mmoja mwingine anapotezewa.

Sie tukisema tunaambiwa wachawi wakat wenyew ndo wakuu wa wachawi, mitanzania sijui ikoje yani inataka kila kitu ndomi tu mbona kazi ipo mwaka huu
 
kawaomba mwenzenu, maana sio mnampongeza tu kwenye instagram, anatak muonyeshe ushabiki wa kweli, si ni saa nne usiku tu pale airport

Kama anataka kupongezwa aandae tamasha watu tuhudhurie kumpongeza.

Pale airport sana sana ataongea na mapaparazi alafu atapanda gari lililo wazi huyoooo anasepa zke na kutuacha mashabiki tukikanyaganya.
 
Da inabidi waende mashabiki maandazi mi sina mda huo tena wamuandalie na kigodoro kabisa watakaoenda inabidi awalipie nauli la sivo mie kwangu ni wastage of time bora ni bonji zangu

Hata kama mie jobless hapana kwa kweli bora u jobless wangu niumalizie humu jamii forum yan nitoe naul yangu nitoke uku kimbij had airport kisa na mkasa? tena saa nne usiki Huyo ndomo ana utani kweli
 
Last edited by a moderator:
Kama anataka kupongezwa aandae tamasha watu tuhudhurie kumpongeza.

Pale airport sana sana ataongea na mapaparazi alafu atapanda gari lililo wazi huyoooo anasepa zke na kutuacha mashabiki tukikanyaganya.

Si ndo apo sasa, yani ye ahojiwe na akina millard ayo apande gar arudi om wakina abdala msogot wahangaike na usafir, tena na apo atajifanya hana mda na shabiki yeyote, analazimisha watu waende kumuona ili aonekane kavunja rekodi maana ndomo anapenda kwel kuvunja rekodi na sifa za kijinga
 
Hata kama mie jobless hapana kwa kweli bora u jobless wangu niumalizie humu jamii forum yan nitoe naul yangu nitoke uku kimbij had airport kisa na mkasa? tena saa nne usiki Huyo ndomo ana utani kweli
sa mi nakaa hapa gongo la mboto binamu lazima niende
 
sa mi nakaa hapa gongo la mboto binamu lazima niende

Ndege apande nani kumpokea ampokee nani? Mbona wakat anaenda hajatwambia tumsindikize ulaya?

Vp mshashona na sare za vigodor ? Maana patakuwa hapatosh, mama ubaya nae na team yake ya kigodor we mbona mtakesha airport.
 
Nimecheka sana hii thread! warumi usisite kutuwekea picha za mapokezi kabambe ya Dangote! Hahahahaha jf Kuna vituko sana !
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana hii thread! warumi usisite kutuwekea picha za mapokezi kabambe ya Dangote! Hahahahaha jf Kuna vituko sana !

Ahahaj usijali binamu, tunaisubir tu hiyo siku baba ubaya akiwasili tukampokee
 
Last edited by a moderator:
Si ndo apo sasa, yani ye ahojiwe na akina millard ayo apande gar arudi om wakina abdala msogot wahangaike na usafir, tena na apo atajifanya hana mda na shabiki yeyote, analazimisha watu waende kumuona ili aonekane kavunja rekodi maana ndomo anapenda kwel kuvunja rekodi na sifa za kijinga

yaani sasa kazidi kkkaah...!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom