Kujifariji ni sehemu ya maisha nenda kawauze Ant-virus walikumbwa na kimbuga aina gani!!Ngoma cye tunaisikia ma times fm huko,East ,Efm nk ww tuu unayesikia redio moja ndiyo huisikii au unaona haikiki
Ngoma cye tunaisikia ma times fm huko,East ,Efm nk ww tuu unayesikia redio moja ndiyo huisikii au unaona haikiki
Kujifariji ni sehemu ya maisha nenda kawauze Ant-virus walikumbwa na kimbuga aina gani!!
Rubby kaingia choo cha mateja! Rubby kimziki kashazikwa pamoja na efm kuwa wanampa kiburi! mwisho wa rubby ni kuja kupitia njia aliyopitia ray c
Namchukia Ruge sana tuuKwani mmeskia Clouds Media ni Asasi ya Kiraia ya kuwasaidia watu bure? Kwani hamna station nyingine za radio hadi iwe clouds tu? Kuna Kiss fm, Ea radio, Radio One, Times fm mbona hamwatupii lawama
Ruge ni busnesman ukimchukia Ruge utakuwa na chuki zako binafsi!
Unakuta mtu ana skiliza cloydz fm 24/7 halafu ana taka amskie RubyNgoma cye tunaisikia ma times fm huko,East ,Efm nk ww tuu unayesikia redio moja ndiyo huisikii au unaona haikiki
Wee jamaa ni muogo kiwango cha reli standard gauge! Uliowataja hapo mwanzo niwashika pembe kama siyo diamond wangekufa njaa! Huwezi kutaja waliomsupport diamond ukamwacha JK
It's business not personalNamchukia Ruge sana tuu
We kama unampenda endelea hukatazwi
Ushasema ni hayo maoni yako baaas.Katika kipindi cha D'wikend chat show cha clouds TV, ameulizwa " Meneja wako Sallam analalamikiwa yupo too hasrh and over protective to you. Unalizungumziaje?". Amejibu " Sallam yupo kwa ajili ya kulinda brand...kuna watu ukishakuwa na jina wa nataka wakutumia wakitumie bure halafu ukishuka wanakuacha wanafuata MTU mwqingine na mifano IPO..."Amerudia sentensi hiyo mara mbili. Kwa maoni yangu .Hili ni dongo la kiutu uzima kwa Clouds na Ruge
Waenya wanavutiwa tu na jinsi tunavyoongea,ukimuuliza wimbo unamaanisha njni hajuiKenya hasa Nairobi ni nyimbo za Diamond TUU. Taxi, matatu, Magari ya kukodi na social places. Salome ameshika kasi huko. Anapendwa kuliko chakula.
Sea Cliff!!ahsante hivi upo wapi mkuu upate hata moja moto moja baridi njoo Element mkuu
Wewe unamfahamu RugeNamchukia Ruge sana tuu
We kama unampenda endelea hukatazwi
Lakin hata hvo kwasasa clouds inamheshimu sana mondi,nazan angekuwa msanii mwingne wangekuwa wameshazinguana nae sku nyingi,kwan kwa hzo show zao za bei nafuu hawampelek sana,toka fiesta ianze wamempeleka mwanza tuLabda nikusaidie tu kwani yawezekana ukawa hujui kuwa Diamond hata afanye nini au aseme nini mbele ya hawa ' Mataita ' wawili Ruge na Fela hapindui hata 'chembe ' na hawa ndiyo kwa 100% wapo nyuma ya mafanikio yote ya Nasib Abdul a.k.a Diamond. Na Clouds fm na tv ndizo zimemsaidia mno kama siyo sana kuwepo hapo alipo kimuziki na kujulikana kwa kiasi kikubwa.
Wanaume wa dar mnatishaMliokuja Dar kwa Treni na Magari ya Mizigo mna taabu sana na mkishafika mjini mnajifanya nyie sasa ndiyo mnayajua mambo. Kwa wanaojua nani yupo nyuma ya Diamond 100% wakiona huo ' upuuzi ' wako uliouandika hapo wanabaki tu kucheka kwa ' dharaaaaaaaaauuuuuuuuuu '.
Kwa hiyo alichokisema hakiwahusu hao watu?Labda nikusaidie tu kwani yawezekana ukawa hujui kuwa Diamond hata afanye nini au aseme nini mbele ya hawa ' Mataita ' wawili Ruge na Fela hapindui hata 'chembe ' na hawa ndiyo kwa 100% wapo nyuma ya mafanikio yote ya Nasib Abdul a.k.a Diamond. Na Clouds fm na tv ndizo zimemsaidia mno kama siyo sana kuwepo hapo alipo kimuziki na kujulikana kwa kiasi kikubwa.
Ndo nini wenzio wanaongea fact we unapiga blah blah [emoji23]Huoni alivyo mjanja fiesta imeanza kaenda rekodi na neyo!!
Karudi juzo tu hapa!
Sawa na asante pia!Ndo nini wenzio wanaongea fact we unapiga blah blah [emoji23]
Na hapo ni baada ya kuwatolea povu sonyDavido anatoa Albam leo.. Inaitwa Son of nini sijui.