Diamond awapiga Clouds kijembe cha kiutu uzima

Diamond awapiga Clouds kijembe cha kiutu uzima

Ngoma cye tunaisikia ma times fm huko,East ,Efm nk ww tuu unayesikia redio moja ndiyo huisikii au unaona haikiki
Kujifariji ni sehemu ya maisha nenda kawauze Ant-virus walikumbwa na kimbuga aina gani!!

Rubby kaingia choo cha mateja! Rubby kimziki kashazikwa pamoja na efm kuwa wanampa kiburi! mwisho wa rubby ni kuja kupitia njia aliyopitia ray c
 
ahsante hivi upo wapi mkuu upate hata moja moto moja baridi njoo Element mkuu
 
Kwani mmeskia Clouds Media ni Asasi ya Kiraia ya kuwasaidia watu bure? Kwani hamna station nyingine za radio hadi iwe clouds tu? Kuna Kiss fm, Ea radio, Radio One, Times fm mbona hamwatupii lawama

Ruge ni busnesman ukimchukia Ruge utakuwa na chuki zako binafsi!
Namchukia Ruge sana tuu

We kama unampenda endelea hukatazwi
 
Ngoma cye tunaisikia ma times fm huko,East ,Efm nk ww tuu unayesikia redio moja ndiyo huisikii au unaona haikiki
Unakuta mtu ana skiliza cloydz fm 24/7 halafu ana taka amskie Ruby

Khaaa!!, wabongo bhana!!
 
Wee jamaa ni muogo kiwango cha reli standard gauge! Uliowataja hapo mwanzo niwashika pembe kama siyo diamond wangekufa njaa! Huwezi kutaja waliomsupport diamond ukamwacha JK

Naogopa nikiendelea ' kubishana ' na Wewe ID yako ' itanidhuru ' na ukizingatia sasa ni usiku.
 
huyo ndiye meneja haswaa anayefahamu majukumu yake,namwombea kwa MUNGU aendelee kumsimamia vizuri Platnumz,big up sana Salaam popote pale ulipo
 
Katika kipindi cha D'wikend chat show cha clouds TV, ameulizwa " Meneja wako Sallam analalamikiwa yupo too hasrh and over protective to you. Unalizungumziaje?". Amejibu " Sallam yupo kwa ajili ya kulinda brand...kuna watu ukishakuwa na jina wa nataka wakutumia wakitumie bure halafu ukishuka wanakuacha wanafuata MTU mwqingine na mifano IPO..."Amerudia sentensi hiyo mara mbili. Kwa maoni yangu .Hili ni dongo la kiutu uzima kwa Clouds na Ruge
Ushasema ni hayo maoni yako baaas.
 
Kenya hasa Nairobi ni nyimbo za Diamond TUU. Taxi, matatu, Magari ya kukodi na social places. Salome ameshika kasi huko. Anapendwa kuliko chakula.
Waenya wanavutiwa tu na jinsi tunavyoongea,ukimuuliza wimbo unamaanisha njni hajui
 
Labda nikusaidie tu kwani yawezekana ukawa hujui kuwa Diamond hata afanye nini au aseme nini mbele ya hawa ' Mataita ' wawili Ruge na Fela hapindui hata 'chembe ' na hawa ndiyo kwa 100% wapo nyuma ya mafanikio yote ya Nasib Abdul a.k.a Diamond. Na Clouds fm na tv ndizo zimemsaidia mno kama siyo sana kuwepo hapo alipo kimuziki na kujulikana kwa kiasi kikubwa.
Lakin hata hvo kwasasa clouds inamheshimu sana mondi,nazan angekuwa msanii mwingne wangekuwa wameshazinguana nae sku nyingi,kwan kwa hzo show zao za bei nafuu hawampelek sana,toka fiesta ianze wamempeleka mwanza tu
 
Mliokuja Dar kwa Treni na Magari ya Mizigo mna taabu sana na mkishafika mjini mnajifanya nyie sasa ndiyo mnayajua mambo. Kwa wanaojua nani yupo nyuma ya Diamond 100% wakiona huo ' upuuzi ' wako uliouandika hapo wanabaki tu kucheka kwa ' dharaaaaaaaaauuuuuuuuuu '.
Wanaume wa dar mnatisha
 
Labda nikusaidie tu kwani yawezekana ukawa hujui kuwa Diamond hata afanye nini au aseme nini mbele ya hawa ' Mataita ' wawili Ruge na Fela hapindui hata 'chembe ' na hawa ndiyo kwa 100% wapo nyuma ya mafanikio yote ya Nasib Abdul a.k.a Diamond. Na Clouds fm na tv ndizo zimemsaidia mno kama siyo sana kuwepo hapo alipo kimuziki na kujulikana kwa kiasi kikubwa.
Kwa hiyo alichokisema hakiwahusu hao watu?
 
yuko right kabisa,huyo kubwa la maadui alijaribu hadi kumbania channel o
 
Back
Top Bottom