Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Kujifariji ni sehemu ya maisha nenda kawauze Ant-virus walikumbwa na kimbuga aina gani!!Ngoma cye tunaisikia ma times fm huko,East ,Efm nk ww tuu unayesikia redio moja ndiyo huisikii au unaona haikiki
Rubby kaingia choo cha mateja! Rubby kimziki kashazikwa pamoja na efm kuwa wanampa kiburi! mwisho wa rubby ni kuja kupitia njia aliyopitia ray c