Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?
Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushambenga bi dada! We ni team kiba since day one..! Sema tu hutaki kuonekana kama na wewe ni chupi kunuka..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
yani kama hajazaaa vile duh
Yaani Zari bado yuko na utamu wake utafikiri mtoto wa 19 years.yani kama hajazaaa vile duh
eti diamond anasema, anaona povu limekutoka!Vichupi kunuka ndio wanunuzi wazuri wa karanga na show zako wanahudhuria
sio kila anaekukosoa ni hater na sio kila team mond ni team zari..
ifike mahala Mr naseeb ujitambue hata kama star kuna vitu inabidi uweke private, maana vinaleta mpasuko tu katika fans wako.
Huko kufarijiana sio lazima mpost IG au muajiri photographer mshakua ma star picha zitajileta.
em kuweni wakubwa, mna watoto sasa.
pambaneni na watoto wenu mnatia aibu sana.
wasanii kioo cha jamii, mnatufanya wabongo wote tuonekane malimbukeni....
Grow up nigga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tugome ili iweje.......pambana na mahusiano yako.!Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?
Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
acha mond afaidi tu
Jiwe gizani......hivi Kiba nae ni star?Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya waswahili ni kwenda nao kiswahili swahili tu.!Nadhani kwa status alionayo Chibu alitakiwa akaushe tu, ni njema ku msapoti mamsapu lakini yeye haishi tena mbagala.
Anatakiwa azihendo hizo changamoto, mashabiki watasema chochote, ni kuwapuuza tu na kuzidi kuwapa burudani.
data kumbe unatukanaga ? samahani nilikuwa sijakutana na tusi lako kweli nimeamini hata mchungaji ukimshika pamaya atatoa tusi .. yani nilikuwa nakuona kapole , kazuri, katulivu yani kumbe nimekoseaWe msem.nge nini..mbona umekomaa sana.. Pambana na mahusiano yako k wewe...
data kumbe unatukanaga ? samahani nilikuwa sijakutana na tusi lako kweli nimeamini hata mchungaji ukimshika pamaya atatoa tusi .. yani nilikuwa nakuona kapole , kazuri, katulivu yani kumbe nimekosea