Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushambenga bi dada! We ni team kiba since day one..! Sema tu hutaki kuonekana kama na wewe ni chupi kunuka..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent by Ubavu
 
Vichupi kunuka ndio wanunuzi wazuri wa karanga na show zako wanahudhuria
sio kila anaekukosoa ni hater na sio kila team mond ni team zari..
ifike mahala Mr naseeb ujitambue hata kama star kuna vitu inabidi uweke private, maana vinaleta mpasuko tu katika fans wako.

Huko kufarijiana sio lazima mpost IG au muajiri photographer mshakua ma star picha zitajileta.
em kuweni wakubwa, mna watoto sasa.
pambaneni na watoto wenu mnatia aibu sana.
wasanii kioo cha jamii, mnatufanya wabongo wote tuonekane malimbukeni....

Grow up nigga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kwa status alionayo Chibu alitakiwa akaushe tu, ni njema ku msapoti mamsapu lakini yeye haishi tena mbagala.
Anatakiwa azihendo hizo changamoto, mashabiki watasema chochote, ni kuwapuuza tu na kuzidi kuwapa burudani.
 
Vichupi kunuka ndio wanunuzi wazuri wa karanga na show zako wanahudhuria
sio kila anaekukosoa ni hater na sio kila team mond ni team zari..
ifike mahala Mr naseeb ujitambue hata kama star kuna vitu inabidi uweke private, maana vinaleta mpasuko tu katika fans wako.

Huko kufarijiana sio lazima mpost IG au muajiri photographer mshakua ma star picha zitajileta.
em kuweni wakubwa, mna watoto sasa.
pambaneni na watoto wenu mnatia aibu sana.
wasanii kioo cha jamii, mnatufanya wabongo wote tuonekane malimbukeni....

Grow up nigga...

Sent using Jamii Forums mobile app
eti diamond anasema, anaona povu limekutoka!
 
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe gizani......hivi Kiba nae ni star?
 
data kumbe unatukanaga ? samahani nilikuwa sijakutana na tusi lako kweli nimeamini hata mchungaji ukimshika pamaya atatoa tusi .. yani nilikuwa nakuona kapole , kazuri, katulivu yani kumbe nimekosea

Sorry..
 
Back
Top Bottom