..Hao ni team chupi kunukaAcha ushambenga bi dada! We ni team kiba since day one..! Sema tu hutaki kuonekana kama na wewe ni chupi kunuka..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sent by Ubavu
Thanx so much chige.....
Nice one kutwa kucha vigulu na njia kuongea ya wengine wakati yao yanawashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia hii ya leo unampangia mtu maisha yake afanye unavyotaka wewe?Vichupi kunuka ndio wanunuzi wazuri wa karanga na show zako wanahudhuria
sio kila anaekukosoa ni hater na sio kila team mond ni team zari..
ifike mahala Mr naseeb ujitambue hata kama star kuna vitu inabidi uweke private, maana vinaleta mpasuko tu katika fans wako.
Huko kufarijiana sio lazima mpost IG au muajiri photographer mshakua ma star picha zitajileta.
em kuweni wakubwa, mna watoto sasa.
pambaneni na watoto wenu mnatia aibu sana.
wasanii kioo cha jamii, mnatufanya wabongo wote tuonekane malimbukeni....
Grow up nigga...
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe unaejipa usemaji mkuu wa madale ndio upambane na matusi yako.Dunia hii ya leo unampangia mtu maisha yake afanye unavyotaka wewe?
Lipi la ajabu kwa mfano?
Pambana na hali yako acha unuka chupi
Sent using Jamii Forums mobile app
We Mshana hizi lugha za huku mtaani kwetu Tandika we umezitoa wapi 😀😀?! Manake huku kwetu kwa tamathali za semi ndo wenyewe... hatujajulia Kiswahili ukubwani kama akina Bashite basi ni full mambo ya nahau, mafumbo na tamathali za semi!!!Nice one kutwa kucha vigulu na njia kuongea ya wengine wakati yao yanawashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you too mrembo wa Hasheem MankaThabeet 😀!!! Halafu naona siku hizi umeanzaa tabia ya viingereza kama Big mwenyewe!!!Thanx so much chige.....
Hajakuelewa tuu huyo we ni mtu poa sana basi tu imetokea!
Again thanx much!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mkuu usijichoshe...wewe unaejipa usemaji mkuu wa madale ndio upambane na matusi yako.
hakuna wa kupambana na chupi zake hapa, huyu boss wako labda ndio apambane na familia yake aliorithishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
lazima aambiwe fact......
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....bora umerudi normal asee!Thank you too mrembo wa Hasheem MankaThabeet 😀!!! Halafu naona siku hizi umeanzaa tabia ya viingereza kama Big mwenyewe!!!
Mbona nipo normal kitambo sana!! Moja ya mambo ambayo siyawezi ni kununa!! Mi nadhani hata kama nina wife halafu nafuma mtu anakula kisha jamaa akapiga magoti; wallah tena nitamwacha aende na yakaisha hapo hapo!!
Haaaaa haaaa na wife unamsamehe?Mbona nipo normal kitambo sana!! Moja ya mambo ambayo siyawezi ni kununa!! Mi nadhani hata kama nina wife halafu nafuma mtu anakula kisha jamaa akapiga magoti; wallah tena nitamwacha aende na yakaisha hapo hapo!!
Ajira ngumu utafanyaje sasa...tena upaja huo ulivyonona anapata stimu kidogo ili akifika kwake kitu kimeanza amshaamsha toka kwa wife wa boss wakehuyo anayewapiga picha anakazi.. wenzake wanagegedana yeye anazunguka zunguka kuwafotoa.
Kila mtu ana namna ta kipekee anavo handle hali yake ikiwa kwa upende wake inaweza kua tofauti na hili tunaloliona leoHuyo diamond kwa mfano mama yake akifa na yeye atafanya hayo anayofanya na zari??