Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Mondi jibu lake moja huwa linauma mwaka mzima hahaa.....na tupambane na mahusiano yetu mweee..
 
Vichupi kunuka ndio wanunuzi wazuri wa karanga na show zako wanahudhuria
sio kila anaekukosoa ni hater na sio kila team mond ni team zari..
ifike mahala Mr naseeb ujitambue hata kama star kuna vitu inabidi uweke private, maana vinaleta mpasuko tu katika fans wako.

Huko kufarijiana sio lazima mpost IG au muajiri photographer mshakua ma star picha zitajileta.
em kuweni wakubwa, mna watoto sasa.
pambaneni na watoto wenu mnatia aibu sana.
wasanii kioo cha jamii, mnatufanya wabongo wote tuonekane malimbukeni....

Grow up nigga...

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia hii ya leo unampangia mtu maisha yake afanye unavyotaka wewe?

Lipi la ajabu kwa mfano?
Pambana na hali yako acha unuka chupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia hii ya leo unampangia mtu maisha yake afanye unavyotaka wewe?

Lipi la ajabu kwa mfano?
Pambana na hali yako acha unuka chupi

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe unaejipa usemaji mkuu wa madale ndio upambane na matusi yako.
hakuna wa kupambana na chupi zake hapa, huyu boss wako labda ndio apambane na familia yake aliorithishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
lazima aambiwe fact......


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nice one kutwa kucha vigulu na njia kuongea ya wengine wakati yao yanawashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
We Mshana hizi lugha za huku mtaani kwetu Tandika we umezitoa wapi 😀😀?! Manake huku kwetu kwa tamathali za semi ndo wenyewe... hatujajulia Kiswahili ukubwani kama akina Bashite basi ni full mambo ya nahau, mafumbo na tamathali za semi!!!
 
wewe unaejipa usemaji mkuu wa madale ndio upambane na matusi yako.
hakuna wa kupambana na chupi zake hapa, huyu boss wako labda ndio apambane na familia yake aliorithishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
lazima aambiwe fact......


Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mkuu usijichoshe...

Mizombie katika ubora wao!

Basi huyo Domo wao toka kasema vinuka chupi mazombi ndo topic of the day!

Ujinga na fata mkumbo ni mzigo mzito sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nipo normal kitambo sana!! Moja ya mambo ambayo siyawezi ni kununa!! Mi nadhani hata kama nina wife halafu nafuma mtu anakula kisha jamaa akapiga magoti; wallah tena nitamwacha aende na yakaisha hapo hapo!!
Haaaaa haaaa na wife unamsamehe?

For real?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo anayewapiga picha anakazi.. wenzake wanagegedana yeye anazunguka zunguka kuwafotoa.
Ajira ngumu utafanyaje sasa...tena upaja huo ulivyonona anapata stimu kidogo ili akifika kwake kitu kimeanza amshaamsha toka kwa wife wa boss wake
 
Huyo diamond kwa mfano mama yake akifa na yeye atafanya hayo anayofanya na zari??
Kila mtu ana namna ta kipekee anavo handle hali yake ikiwa kwa upende wake inaweza kua tofauti na hili tunaloliona leo
 
20394262_127826161164415_5375039742880514048_n.jpg
 
Back
Top Bottom