Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Hahaaaaaaa hapo anapunguzia maumivu kwa kweli pole yake na hongera kwa kununua mjengo. Ila hyo caption kaiandika kwa hasira
South nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina nanilii
 
Hahaaaaaaa hapo anapunguzia maumivu kwa kweli pole yake na hongera kwa kununua mjengo. Ila hyo caption kaiandika kwa hasira
Hata huyu aliyeweka huu uzi ameuweka kwa hasira ili kuwaumiza moyo ule upande wa pili, ila haiondoi ukweli kwamba "dawa ya kuondoa maumivu ya kukosa mwali, ni kukubali kuwa bado mziki wetu ni wakuunga unga" na bado tunasafari ndefu ya kuwafikia wenzetu.
 
Dar kiwanja tu huwa ghali bado na nyumba ndo isiseme na unakuta nyumba mbovu, kiwanja kidogo. Last year mbezi beach kiwanja tu hakijajengwa kilikua kinauzwa billion moja na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…