Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia baada ya kuona mjengo wa kiba na yeye kaanza kupost take ya SAVipi baada ya kukosa tuzo sasa ameamua kuonyesha picha ya nyumba sio!
Mtvmama2016 Kiboko ya maumivu
Nasikia baada ya kuona mjengo wa kiba na yeye kaanza kupost take ya SA
Hahaaaaaaa hapo anapunguzia maumivu kwa kweli pole yake na hongera kwa kununua mjengo. Ila hyo caption kaiandika kwa hasiraVipi baada ya kukosa tuzo sasa ameamua kuonyesha picha ya nyumba sio!
Mtvmama2016 Kiboko ya maumivu
Baada ya kiba ila mbona wanadai sio yakibaNasikia baada ya kuona mjengo wa kiba na yeye kaanza kupost take ya SA
Wote wanapitia katika kipindi kigumu, hawaamini kama wamekosa mwali .. Tuwasihi Zari & Jokate wawafariji na kuwatia moyo hawa mafahali wetu kwani wapo kwenye kipindi cha mpito wasije wakajidhuru bure..Nasikia baada ya kuona mjengo wa kiba na yeye kaanza kupost take ya SA
Mi hzo caption kwa kweli chah hatumii hata tafsida.Haya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.
South nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina naniliiHahaaaaaaa hapo anapunguzia maumivu kwa kweli pole yake na hongera kwa kununua mjengo. Ila hyo caption kaiandika kwa hasira
Watanzania tuna tatizo kubwa sana..hatupendi wala kuthamini vilivyo vyetuVipi baada ya kukosa tuzo sasa ameamua kuonyesha picha ya nyumba sio!
Mtvmama2016 Kiboko ya maumivu
Mfano ml ngapi hizo cheeSouth nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina nanilii
Hata huyu aliyeweka huu uzi ameuweka kwa hasira ili kuwaumiza moyo ule upande wa pili, ila haiondoi ukweli kwamba "dawa ya kuondoa maumivu ya kukosa mwali, ni kukubali kuwa bado mziki wetu ni wakuunga unga" na bado tunasafari ndefu ya kuwafikia wenzetu.Hahaaaaaaa hapo anapunguzia maumivu kwa kweli pole yake na hongera kwa kununua mjengo. Ila hyo caption kaiandika kwa hasira
Dar kiwanja tu huwa ghali bado na nyumba ndo isiseme na unakuta nyumba mbovu, kiwanja kidogo. Last year mbezi beach kiwanja tu hakijajengwa kilikua kinauzwa billion moja na nusuSouth nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina nanilii