cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Miss Natafuta Mimi naishi Jo'burg , huku iyo Nyumba aliyoikodi iko south west town Orlando
Huku jamii forum kuna vitoto vya ki.s.enge sana ndo maana vingi vinavyokuja huku vinapigwa sana miti kwa kushobokea watu
Mtu unakuaje unamjua mwenzako kuliko hata yeye anavyojijua
Isije kufika wakati watu hawahawa wakaleta bakuli la kuomba ela za matibabu
Hao watu uliowataja UMEZIJUAJE MALI ZAO KAMA HAWAJAZITANGAZA ...........??
Hiyo nyumba kakodi? Kivipi useme hivi wakati inasemwa amenunua?
Amekodi
Jinsi alivyo mswahili tena punguwani angepost sales agreement vere stupid one
Kwahiyo BBC ndio waliosema ni mali zake,au yeye aliulizwa ndio akasema ........??Kama Benny nilimshuhudia mi mwenyewe, wacko jacko niliona BBC sio kwenye social media stupid Tanzanian
Mtaishia kujenga viwanda vya umbea na ngono
Kwahiyo angeweka sales agreement hasingekuwa mswahili .......??Amekodi
Jinsi alivyo mswahili tena punguwani angepost sales agreement vere stupid one
Husimuulize maswali siriazi,atakimbia humu kisha mi nitakosa burudani.Hiyo nyumba kakodi? Kivipi useme hivi wakati inasemwa amenunua?
Hahaaaaaaa pole sana mkuu,tatzo mnapenda kumezeshwa sumu na akina sallam af mnaufanya ndio ukweli,tangia Jana mmeambiwa hebu leteni picha ya hilo duka mnaishia kutoa povu tuAli hana mjengo uliopostiwa jana. Uliopostiwa jana na fans wake ni showroom ya duka. Acheni kupotosha watu
Wewe ni mtoto wa kike haipendezi kutukana,maana humu wanapita wengi, sasa waweza kujikosesha bahati ya wachumba kwa matusi yako.achana na huyo fala ukienda insta utacheka kweli yaani
Leteni hzo picha hapa sio mnatokwa povu tuAchana nao kuna watu wengine wanatawaliwa na emotions, tunatoa fact kuwa ni rahisi kununua nyumba south kwa maana ya bei na ubora wa nyumba kuliko Dar, na Diamond kafanya hesabu nzuri.Outcom
Cmon man, mwisho nilisema makazi south yatamsaidia sana kama artist, point yangu ilikuwa inalenga kuitambua south kama centre nzuri ya biashara ya muziki.
wachumba wenyewe kina wewe bora nikose tu sijui nikutukane tusi gani ili nikose kabisaWewe ni mtoto wa kike haipendezi kutukana,maana humu wanapita wengi, sasa waweza kujikosesha bahati ya wachumba kwa matusi yako.
Kwani kiba kasema ile ni nyumba yake ....?Hahaaaaaaa pole sana mkuu,tatzo mnapenda kumezeshwa sumu na akina sallam af mnaufanya ndio ukweli,tangia Jana mmeambiwa hebu leteni picha ya hilo duka mnaishia kutoa povu tu
Mi huwa sijali matusi,ila kuna wanaume wenzangu wengine hawastahimili matusi,mi nakuomba acha matusi ili husijikoseshe bahati.wachumba wenyewe kina wewe bora nikose tu sijui nikutukane tusi gani ili nikose kabisa
OMG
Wewe una wivu
Apost ili iweje kwako ukiona?
Umekaa South unapugika huna hata kibanda nafikuri ndio maana hauamini, mtoto wa Tandale kujiendeleza.
Pole kamuombe kazi ya u shamba boy.
Kiba hajasema coz sio mtu wa show-off ila nyumba ni yakeKwani kiba kasema ile ni nyumba yake ....?
Sasa we umejuaje kama ni yake .......??Kiba hajasema coz sio mtu wa show-off ila nyumba ni yake
Nilicho gundua we jamaa una wivuKakodishiwa na baasha wake
Achana nao wengi wao ni wachawi humu wamuache jamaa ameangaika sana mbali na dingi kumkataaSasa we umejuaje kama ni yake .......??