Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Labda kwa sasa mwaka Jana ilikua hatare mnoBaada ya magufulification bei za viwanja na nyumba zimeshuka sana has Dar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa sasa mwaka Jana ilikua hatare mnoBaada ya magufulification bei za viwanja na nyumba zimeshuka sana has Dar.
siongeagi na form four failure kafie mbele hukoKwani na wewe ni mmoja wao kati ya waliomuweka juu .........??
mimi ni shabiki wa diamond sana anavoishi kwenye mitandao anatakiwa apate control toka kwa management yake .ukimkosoa diamond humu kuna vitoto vinajiona vinamjua sana diamond wakati wamemfahamu kwenye salome achana nao mkuu
Dada mbona mkali nini tatizo ......??siongeagi na form four failure kafie mbele huko
ameikodi tena? kainunua bnaMiss Natafuta Mimi naishi Jo'burg , huku iyo Nyumba aliyoikodi iko south west town Orlando
Huku jamii forum kuna vitoto vya ki.s.enge sana ndo maana vingi vinavyokuja huku vinapigwa sana miti kwa kushobokea watu
Mtu unakuaje unamjua mwenzako kuliko hata yeye anavyojijua
Isije kufika wakati watu hawahawa wakaleta bakuli la kuomba ela za matibabu
Hivi wewe upo Yomboo ipi, ya Bagamoyo au ya Dar.......Mana sometimes akili ya mtu inategemea na anapoishi.
hili ni jukwaa la watu wazima huwezi jadili mada nenda insta kule jana si mlikuwa mnatukana kwenye page ya mtv ? kwani diamond ni nani asikosolewe ? hata kama unampenda mtu akikosea utasifia tu si unafiki huo?Dada mbona mkali nini tatizo ......??
ameikodi tena? kainunua bna
Kwani na wewe ni mmoja wao kati ya waliomuweka juu .........??
achana na huyo fala ukienda insta utacheka kweli yaaniKunguru wa Durban wewe
Basi at least angepata hata tuzo moja basi yeye si fundi.Umekariri mkuu
Diamond ndo msanii pekee wa africa alieshinda
Mtv mama Best live act
Mtv ema europe live act
Mtv ema world wide act
Mziki wa kuunga unga huwezi shinda tuzo kubwa zote hizo
Shirikisha ubongo angalau kidogo wakati unapambanua jambo
achana na huyo fala ukienda insta utacheka kweli yaani
Goba kubwa wapi,kwa Sanya,kwa mzungu, kwa Pembe, kwa ulomi, st Joseph au kule mwisho wa magari njia 4 ..........??Naishi goba unapajua ??
angalia yalivokuwa yanashoboka huko kila mtu kadharau wabongoBahati mbaya sina account Instagram
Tatizo la hawa vijana wa kitanzania ni kupatikia watu, kupenda umbea umbea , unaweza kukuta mtu anakujua wewe kuliko unavyojijiua
Nadhani sasa hivi kwa Africa ndo nchi yenye machoko wengi
Kipi alichokikosea,kununua nyumba ........???hili ni jukwaa la watu wazima huwezi jadili mada nenda insta kule jana si mlikuwa mnatukana kwenye page ya mtv ? kwani diamond ni nani asikosolewe ? hata kama unampenda mtu akikosea utasifia tu si unafiki huo?
angalia yalivokuwa yanashoboka huko kila mtu kadharau wabongo![]()
Kwani braza we unamchukia MOND ??Basi at least angepata hata tuzo moja basi yeye si fundi.
Hao watu uliowataja UMEZIJUAJE MALI ZAO KAMA HAWAJAZITANGAZA ...........??Duh aisee vere stupid
Anyway ndo watu walivyo
Tumeona wengi wenye life
Benny mcathy ndo msauzi wa kwanza mweusi kiendesha Bentley continental but now yuko down sana
Sasa huyo kuwa na Nyumba tuu tena Soweto ni nongwa
Michael jack alikuwa na amusement park Florida but hakuwai kupost wala watu kujua kama aliwai kuwa na amusement park
Bongo kuna tatizo kwa vijana wa sasa