Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,595
- 1,419
Dar kiwanja tu huwa ghali bado na nyumba ndo isiseme na unakuta nyumba mbovu, kiwanja kidogo. Last year mbezi beach kiwanja tu hakijajengwa kilikua kinauzwa billion moja na nusu
Baada ya magufulification bei za viwanja na nyumba zimeshuka sana has Dar.