Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

mimi ni shabiki wa diamond sana anavoishi kwenye mitandao anatakiwa apate control toka kwa management yake .ukimkosoa diamond humu kuna vitoto vinajiona vinamjua sana diamond wakati wamemfahamu kwenye salome achana nao mkuu

Miss Natafuta Mimi naishi Jo'burg , huku iyo Nyumba aliyoikodi iko south west town Orlando

Huku jamii forum kuna vitoto vya ki.s.enge sana ndo maana vingi vinavyokuja huku vinapigwa sana miti kwa kushobokea watu

Mtu unakuaje unamjua mwenzako kuliko hata yeye anavyojijua

Isije kufika wakati watu hawahawa wakaleta bakuli la kuomba ela za matibabu
 
ameikodi tena? kainunua bna
 
Dada mbona mkali nini tatizo ......??
hili ni jukwaa la watu wazima huwezi jadili mada nenda insta kule jana si mlikuwa mnatukana kwenye page ya mtv ? kwani diamond ni nani asikosolewe ? hata kama unampenda mtu akikosea utasifia tu si unafiki huo?
 
Umekariri mkuu
Diamond ndo msanii pekee wa africa alieshinda
Mtv mama Best live act
Mtv ema europe live act
Mtv ema world wide act
Mziki wa kuunga unga huwezi shinda tuzo kubwa zote hizo
Shirikisha ubongo angalau kidogo wakati unapambanua jambo
Basi at least angepata hata tuzo moja basi yeye si fundi.
 
achana na huyo fala ukienda insta utacheka kweli yaani

Bahati mbaya sina account Instagram

Tatizo la hawa vijana wa kitanzania ni kupatikia watu, kupenda umbea umbea , unaweza kukuta mtu anakujua wewe kuliko unavyojijiua

Nadhani sasa hivi kwa Africa ndo nchi yenye machoko wengi
 
angalia yalivokuwa yanashoboka huko kila mtu kadharau wabongo
14712077_1144469292302279_2828271415076061184_n-jpg.424641
 
Attachments

  • 14712077_1144469292302279_2828271415076061184_n.jpg
    14712077_1144469292302279_2828271415076061184_n.jpg
    67 KB · Views: 59
hili ni jukwaa la watu wazima huwezi jadili mada nenda insta kule jana si mlikuwa mnatukana kwenye page ya mtv ? kwani diamond ni nani asikosolewe ? hata kama unampenda mtu akikosea utasifia tu si unafiki huo?
Kipi alichokikosea,kununua nyumba ........???
 
Nimepita huko Insta na huku Jamiini nilichogundua Watanzania wengi wetu ni wachawi na tuna roho mbeya.
 
angalia yalivokuwa yanashoboka huko kila mtu kadharau wabongo
14712077_1144469292302279_2828271415076061184_n-jpg.424641

Duh aisee vere stupid

Anyway ndo watu walivyo

Tumeona wengi wenye life

Benny mcathy ndo msauzi wa kwanza mweusi kiendesha Bentley continental but now yuko down sana

Sasa huyo kuwa na Nyumba tuu tena Soweto ni nongwa

Michael jack alikuwa na amusement park Florida but hakuwai kupost wala watu kujua kama aliwai kuwa na amusement park

Bongo kuna tatizo kwa vijana wa sasa
 
Hao watu uliowataja UMEZIJUAJE MALI ZAO KAMA HAWAJAZITANGAZA ...........??
 
Back
Top Bottom