NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Shabiki huezi kua msataabu lazima use na muhemkoHaya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.
Unaishi J'burg kwenye lile gorofa la mateja wa kibongo lisilokuwa na umeme ,maji wala vyoo? teh teh teh pole sana mkuu nasikia kazi yenu ni kukaba watuMiss Natafuta Mimi naishi Jo'burg , huku iyo Nyumba aliyoikodi iko south west town Orlando
Huku jamii forum kuna vitoto vya ki.s.enge sana ndo maana vingi vinavyokuja huku vinapigwa sana miti kwa kushobokea watu
Mtu unakuaje unamjua mwenzako kuliko hata yeye anavyojijua
Isije kufika wakati watu hawahawa wakaleta bakuli la kuomba ela za matibabu
Jamaa inaonekana una maisha magumu sana huko.....ujambazi unaofanya haukulipi? Rudi nyumbani usione aibu mashamba yako mengi ulimeTena ipo Soweto Orlando west hahahaha
Jamaa inaonekana una maisha magumu sana huko.....ujambazi unaofanya haukulipi? Rudi nyumbani usione aibu mashamba yako mengi ulime
Mbaya zaidi watu wanatukanana na kudhalilishana kwa ajili ya vitu vya watu wengine na tena hata hawawajui sijui tunaenda wapi? Japo tunatumia ID fake lakini matusi yanayotukanywa yenyewe ni original.huu uzi umejaa povu kichizi. Unaweza ukafulia jezi za timu tano tofauti za soka na povu likabaki.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23] we mwandan wake nn mkuu, yan mlivyo wabishi mnapinga had vya mdomon mwa muhusika!Kiba hajasema coz sio mtu wa show-off ila nyumba ni yake
Kama Afrika ina Machoko basi CHOKO namba moja ni wewe kitobo unayejiita Yomboo...Bahati mbaya sina account Instagram
Tatizo la hawa vijana wa kitanzania ni kupatikia watu, kupenda umbea umbea , unaweza kukuta mtu anakujua wewe kuliko unavyojijiua
Nadhani sasa hivi kwa Africa ndo nchi yenye machoko wengi
Nakubaliana na wewe South Africa hata dola elfu 30 unapata nyumba tena yenye gate na garage ya kupark gariSouth nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina nanilii
Hapo umenena kabisa.diamond nae anazidi show off mpaka anaboa
japo mimi shabiki wake sana..
Ila hicho anaboa sana sana, apunguze ulimbukeni kashakua msanii mkubwa tabia za ajabu ajabu kama hizo aache akinunua chupi kapost, akifanyaje kapost
post kazi vitu vya kijinga achana navyo! mbona wakubwa wenzie hawako hivo
Serious [emoji15]no comment
YesSerious [emoji15]
Naona umeanza leo kufatilia maisha ya Celebs...Wizkid ameonyesha nyumba na mali zake kwenye mitandao,Davido ndio kabisaa,Psquare pia,Akothee wa Kenya pia,na wengine wengiiiimimi ni shabiki wa diamond sana anavoishi kwenye mitandao anatakiwa apate control toka kwa management yake .ukimkosoa diamond humu kuna vitoto vinajiona vinamjua sana diamond wakati wamemfahamu kwenye salome achana nao mkuu