NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Shabiki huezi kua msataabu lazima use na muhemkoHaya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.