Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Haya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.
Shabiki huezi kua msataabu lazima use na muhemko
 
Kiba anaonesha hotel ya watu Aliofikia ana miaka 15 yupo kwenye gemu hana hata nyumba
 
Miss Natafuta Mimi naishi Jo'burg , huku iyo Nyumba aliyoikodi iko south west town Orlando

Huku jamii forum kuna vitoto vya ki.s.enge sana ndo maana vingi vinavyokuja huku vinapigwa sana miti kwa kushobokea watu

Mtu unakuaje unamjua mwenzako kuliko hata yeye anavyojijua

Isije kufika wakati watu hawahawa wakaleta bakuli la kuomba ela za matibabu
Unaishi J'burg kwenye lile gorofa la mateja wa kibongo lisilokuwa na umeme ,maji wala vyoo? teh teh teh pole sana mkuu nasikia kazi yenu ni kukaba watu
 
Jamaa inaonekana una maisha magumu sana huko.....ujambazi unaofanya haukulipi? Rudi nyumbani usione aibu mashamba yako mengi ulime

Inaonekana lakini huna uhakika na Mimi nikisema inaonekana wewe ni punga au unataka kumpa ndomo TIGO kimtindo
 
huu uzi umejaa povu kichizi. Unaweza ukafulia jezi za timu tano tofauti za soka na povu likabaki.
Mbaya zaidi watu wanatukanana na kudhalilishana kwa ajili ya vitu vya watu wengine na tena hata hawawajui sijui tunaenda wapi? Japo tunatumia ID fake lakini matusi yanayotukanywa yenyewe ni original.
 
Duh kuna watu wana wivu sana alafu mbaya zaidi ni wanaume!!!

Big up Diamond tambo zake zinatufanya tupate nguvu ya kuzidi kuzisaka kwani tukinuna haiezi saidia kitu, endelea kutupandisha hasira maana hakuna namna
 
Bahati mbaya sina account Instagram

Tatizo la hawa vijana wa kitanzania ni kupatikia watu, kupenda umbea umbea , unaweza kukuta mtu anakujua wewe kuliko unavyojijiua

Nadhani sasa hivi kwa Africa ndo nchi yenye machoko wengi
Kama Afrika ina Machoko basi CHOKO namba moja ni wewe kitobo unayejiita Yomboo...
Wewe ni zaidi ya bwabwa yaani..!
Tako wewe..!!!
 
South nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina nanilii
Nakubaliana na wewe South Africa hata dola elfu 30 unapata nyumba tena yenye gate na garage ya kupark gari
 
diamond nae anazidi show off mpaka anaboa
japo mimi shabiki wake sana..
Ila hicho anaboa sana sana, apunguze ulimbukeni kashakua msanii mkubwa tabia za ajabu ajabu kama hizo aache akinunua chupi kapost, akifanyaje kapost
post kazi vitu vya kijinga achana navyo! mbona wakubwa wenzie hawako hivo
Hapo umenena kabisa.

Ila naona hawajui watz vzr aisee. Wanaweza kuja kushushwa vibaya akajuta kuzaliwa.

Awe makini kdg Na wanachopost.
 
mimi ni shabiki wa diamond sana anavoishi kwenye mitandao anatakiwa apate control toka kwa management yake .ukimkosoa diamond humu kuna vitoto vinajiona vinamjua sana diamond wakati wamemfahamu kwenye salome achana nao mkuu
Naona umeanza leo kufatilia maisha ya Celebs...Wizkid ameonyesha nyumba na mali zake kwenye mitandao,Davido ndio kabisaa,Psquare pia,Akothee wa Kenya pia,na wengine wengiiii

Sasa sijui wewe mwenzetu unataka apewe Control ipi!!?mbona ni kawaida sana hiyo kwa Wasanii duniani kote?!hujui faida za msanii hasa wa muziki kuonyesha mali zake inaonyesha.
 
Wasanii wakubwa huwa wanaonesha mali zao live achilia mbali maburungutu ya pesa! Kiba bado ni msanii wa Kariakoo level hizo hajafika. Tukubali ukweli ndugu zangu. Na hata akisema aoneshe ataonesha nini????

Diamond kwa mujibu wa Forbes ndo msanii aneongoza kwa utajiri Afrika mashariki akiwa na mali zenye thamani ya zaidi ya billion 10, akifatiwa na Chamelion na wengine.

Katika masuala ta kuonesha mali zao Kiba ukimuweka na mzee wa domo unakuwa unamuonea sana Kiba wetu. Kiba wetu bado sana na tujifunze kukubali kwamba bado ni msanii wa mchangani. Tusimvimbushe kichwa akajiona amefika akaacha kushindana na wenzie
 
Back
Top Bottom