Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

kwa watu walivyomdiss kipindi kile amepost hiyo nyumba, halali leo hii awatoe povu!

Hongera kwa mafanikio diamond wabongo siku zote tuna roho za kwanini!
Kipindi umepost walisema huna hela za kununua nyumba SA leo umewajibu povu linawatoka!!
 
hahahahahahaha
umenichekesha sana Bintiwamoyo
Ni kweli. Wenye duka wenyewe wamepost instagram na twitter kwamba Ali Kiba aliwatembelea na picha amepigwa kwenye hilo jengo. Na shangaa watu wamegeuza story that the showroom is one of many rooms in Ali's house. Kweli elimu inatuhusu Tanzania
 
Sio kweli mwaka jana diamond alishinda
Mtv best live act
Mtv ema europe live act
Mtv ema world wide act( hakuna msanii wa africa ameshawahi shinda zaidi ya diamond)
Kukosa mwaka huu sio hoja kabisa ni kawaida tu kwenye ushindani
Are sure hakuna msanii wa Africa amewahi kushinda hiyo tuzo
 
Ninachomkubali diamond ni ile kujiamini na kujikubali kama anaweza.Yaani kama aliweza kutoboa kipindi team kiba,team joketi,team wema,team penny zilivyomuandama.Hakika huyu ni shujaa
 
Wabongo bhana, lazima watafute pa kutia kasoro ili mradi tu kujifariji!! Eti south nyumba bei rahisi... mtu anaongea haya kwa namna ya kuponda wakati wao hata kibanda cha chumba 2 Bunju au hata Mbande hawana!! Wivu mwingine bhana wala hauna maana....! Wengine oh, kakosa tuzo... kwani ni mara yake ya kwanza kukosa tuzo? Ajabu, hao ni wale wale ambao walikuwa wanabisha kiasi cha wengine kutaka ushahidi wa hati... leo mnaoneshwa baba mwenye nyumba kaingia mjengoni mwake; hamtaki!!

Mtakufa maskini kwa ajili ya nafsi zenu kutawaliwa na husuda!!
 
hahhhhhhha hiiivi KWANZA SI MLIBISHA SIO YAKE!?
LEO NI YAKE ILA BEI RAHISI

yu people
kama tiffa vile
kwanz ailikuwa zari hana mimba
halafu anayo ila sio yake
mimba ya pili oh katoa
sa hiz nyumba
KUNA SIKU MTASEMA DIAMOND SIO NASEEB
tunawaangalia tu!
 
Ni kweli. Wenye duka wenyewe wamepost instagram na twitter kwamba Ali Kiba aliwatembelea na picha amepigwa kwenye hilo jengo. Na shangaa watu wamegeuza story that the showroom is one of many rooms in Ali's house. Kweli elimu inatuhusu Tanzania
Achana nao kuna watu wengine wanatawaliwa na emotions, tunatoa fact kuwa ni rahisi kununua nyumba south kwa maana ya bei na ubora wa nyumba kuliko Dar, na Diamond kafanya hesabu nzuri.Outcom
Cmon man, mwisho nilisema makazi south yatamsaidia sana kama artist, point yangu ilikuwa inalenga kuitambua south kama centre nzuri ya biashara ya muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…