snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
ILA KIBA KASHINDA MIAKA YOTE ,ni HUU TU NDO KAKOSA!mwaka Jana sasa....!!!
ahahhahahahahhahahahhahahhahahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ILA KIBA KASHINDA MIAKA YOTE ,ni HUU TU NDO KAKOSA!mwaka Jana sasa....!!!
Exactly. Walimponda, kumcheka na kumkebehi juu.kwa watu walivyomdiss kipindi kile amepost hiyo nyumba, halali leo hii awatoe povu!
Hongera kwa mafanikio diamond wabongo siku zote tuna roho za kwanini!
Kipindi umepost walisema huna hela za kununua nyumba SA leo umewajibu povu linawatoka!!
Ali hana mjengo uliopostiwa jana. Uliopostiwa jana na fans wake ni showroom ya duka. Acheni kupotosha watuhasira za kuonywesha mjengo wa Ally
Huna hoja. Sibishani na small minds. Bye [emoji2]Okay this is what we call ishyiwawa,
Hujasema ndomo kakusaidia nini, unajaza tu mimamate mitamdaoni
Get lost. Sibishani na wapuuzi. ByeeBroken English
Kajambe mbele huko. Huna hoja.Wewe zimekusaidia nini jerk??
Ni kweli. Wenye duka wenyewe wamepost instagram na twitter kwamba Ali Kiba aliwatembelea na picha amepigwa kwenye hilo jengo. Na shangaa watu wamegeuza story that the showroom is one of many rooms in Ali's house. Kweli elimu inatuhusu Tanzaniahahahahahahaha
umenichekesha sana Bintiwamoyo
Mkuu maneno huwa yanaumaDiamond anaatolewa povu na fans wa kiba??? Aisee, hii ni weakness Kubwa!!
Diamond ameamua kuonyesha uswahili wake kw wale walikuwa wanasema hana uwezo wala hawezi nunua nyumba south africa
Picha inajielewa zaidi
View attachment 424255
View attachment 424256
Hahahahaahaaa apparently so!ILA KIBA KASHINDA MIAKA YOTE ,ni HUU TU NDO KAKOSA!
ahahhahahahahhahahahhahahhahahha
Kwa kweli...ni watu hawa hawa wanaopost kuchukizwa na mashauzi yake ndio walikua wakwanza to doubt him.Exactly. Walimponda, kumcheka na kumkebehi juu.
Are sure hakuna msanii wa Africa amewahi kushinda hiyo tuzoSio kweli mwaka jana diamond alishinda
Mtv best live act
Mtv ema europe live act
Mtv ema world wide act( hakuna msanii wa africa ameshawahi shinda zaidi ya diamond)
Kukosa mwaka huu sio hoja kabisa ni kawaida tu kwenye ushindani
ORDINARY MINDED DISCUSS ABOUT PEOPLE......Diamond ameamua kuonyesha uswahili wake kw wale walikuwa wanasema hana uwezo wala hawezi nunua nyumba south africa
Picha inajielewa zaidi
View attachment 424255
View attachment 424256
sure, go plutnumz go!Kwa kweli...ni watu hawa hawa wanaopost kuchukizwa na mashauzi yake ndio walikua wakwanza to doubt him.
Congratulations Diamonds. Mungu akuongezee maradufu cause you are a hard worker.
sasa we chokoraa hata usipomkubali haisaidii kitu chochote..YOU ARE NOBODY!!!!!nilianza kumkubali dogo Ila daah...nimegundua ana husda sanaaa!!!
Achana nao kuna watu wengine wanatawaliwa na emotions, tunatoa fact kuwa ni rahisi kununua nyumba south kwa maana ya bei na ubora wa nyumba kuliko Dar, na Diamond kafanya hesabu nzuri.OutcomNi kweli. Wenye duka wenyewe wamepost instagram na twitter kwamba Ali Kiba aliwatembelea na picha amepigwa kwenye hilo jengo. Na shangaa watu wamegeuza story that the showroom is one of many rooms in Ali's house. Kweli elimu inatuhusu Tanzania
Cmon man, mwisho nilisema makazi south yatamsaidia sana kama artist, point yangu ilikuwa inalenga kuitambua south kama centre nzuri ya biashara ya muziki.Wabongo bhana, lazima watafute pa kutia kasoro ili mradi tu kujifariji!! Eti south nyumba bei rahisi... mtu anaongea haya kwa namna ya kuponda wakati wao hata kibanda cha chumba 2 Bunju au hata Mbande hawana!! Wivu mwingine bhana wala hauna maana....! Wengine oh, kakosa tuzo... kwani ni mara yake ya kwanza kukosa tuzo? Ajabu, hao ni wale wale ambao walikuwa wanabisha kiasi cha wengine kutaka ushahidi wa hati... leo mnaoneshwa baba mwenye nyumba kaingia mjengoni mwake; hamtaki!!
Mtakufa maskini kwa ajili ya nafsi zenu kutawaliwa na husuda!!