Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Zari kiboko kabisa,uko atatulia tuli no mipanya buku ndani ya nyumba madale kawaachia kabisa.bwana Chibu hapo anapaita kwake wakati ye mwenyewe mgeni hapo 😀😀😀 mjini shule.
 
I agree with you had tufike hata level ya tecno itatuchukua more than 20years. Kushindwa kwetu tukubali mziki wetu haujafika mbali.
Dada naona chuki juu ya Dayamondi imekuzidi hadi umesahau ndiyo huyu huyu aliyetutoa kimaso maso mwaka Jana kwa kukusanya tuzo za MTV hata ile ya world act ambayo ni muafrika pekee aliyenayo hapo wachukue wote hadi kina wizkid, tecno, Psquare, mafikizolo hawana.

Kiba alihitaji zaidi hii tuzo ili atambulike zaidi na kuongeza portfolio yake kuliko Dayamondi ambaye tayari anazo.

Dayamondi ni msanii mkubwa Africa hilo halina ubishi, kukosa tuzo mwaka huu haina maana mazuri yote ya nyuma yanafutika au ndiyo mwisho wake.
 
Umekariri mkuu
Diamond ndo msanii pekee wa africa alieshinda
Mtv mama Best live act
Mtv ema europe live act
Mtv ema world wide act
Mziki wa kuunga unga huwezi shinda tuzo kubwa zote hizo
Shirikisha ubongo angalau kidogo wakati unapambanua jambo
mwaka Jana sasa....!!!
 
Engage your brain basi kidogo. Last year Diamond kachukua tuzo mbili MTVMAMA. Kukosa this year ndio unafikiri kuna muuma?
Kuna muuma tena sana, hakutegemea kama angetoka mikono mitupu
 
Acha kutukatisha tamaa we jamaa! Yaani kutopata tuzo za MTVMAMA mwaka huu ndo kiashiria cha mziki wetu kuwawa kuunga unga??? Kuna tuzo ngapi mwaka huu huu zimekuja hapa bongo?? Hiyo MTVMAMA tumeingiza nominees wangapi?? Watu kama nyie hamfai kabisa katika jambo la maendeleo. Tatizo lenu [HASHTAG]#too[/HASHTAG] much!
Yaani wakati Africa nzima wanauheshimu mziki wa Tz anatokea kiroboto mmoja hapa JF anasema mziki wetu bado wa kuunga unga??? Aisee una bahati upo mbali na mimi, anajua Mungu ningekufanya nini!
Badala ya kuwapa watu courage wakaze wachukue hizo za MTVMAMA next year unaleta michongo yako! Nimekumaindi sana mkuu nisikufiche. Mfyuuuu[emoji35] [emoji35]
Akili ya kufikiri hana uyo mkuu
 
Kajambe mbele huko. Broken English unaijua wewe? Embu andika yako basi tuone. You don't even know broken English if you saw one. Now, cha msingi hapa sio English cha msingi usilete comments usizokua na uhakika nazo. Utaambiwa ukweli tu. Yes amenisaidia maana mziki wa Tz unasikilizwa na kutambuliwa Africa na nje ya Africa.
I dont expect you to understand because your brain is so small. I have written my broken English again naomba unisahihishe basi. Mfyuu

Okay this is what we call ishyiwawa,

Hujasema ndomo kakusaidia nini, unajaza tu mimamate mitamdaoni
 
Kajambe mbele huko. Broken English unaijua wewe? Embu andika yako basi tuone. You don't even know broken English if you saw one. Now, cha msingi hapa sio English cha msingi usilete comments usizokua na uhakika nazo. Utaambiwa ukweli tu. Yes amenisaidia maana mziki wa Tz unasikilizwa na kutambuliwa Africa na nje ya Africa.
I dont expect you to understand because your brain is so small. I have written my broken English again naomba unisahihishe basi. Mfyuu

Broken English
 
Told you to engage your brain. Take your stupidity and lying mouth somewhere else. Ukisema ukweli utapungukiwa nini? Yes ana tuzo mbili na simuonei wivu but that's the truth. Now find a seat and sit down.

Wewe zimekusaidia nini jerk??
 
diamond nae anazidi show off mpaka anaboa
japo mimi shabiki wake sana..
Ila hicho anaboa sana sana, apunguze ulimbukeni kashakua msanii mkubwa tabia za ajabu ajabu kama hizo aache akinunua chupi kapost, akifanyaje kapost
post kazi vitu vya kijinga achana navyo! mbona wakubwa wenzie hawako hivo
 
elimu elimu elimu,kwa maisha na pesa alizo kuwa nazo mr.nice wakati ule hakuna alietegemea kama atafirisika,hata utajiri aliokuwa nao mike tyson leo asingefikia hatua yakupigiwa mnada nyumba zake mpaka kina 50cent wakaja kumuokoa,kujitambua nizaidi ya kuwa maarufu..!!poor diamond always kugombana mitandaoni na mashabiki hata asiowajua pengine
 
Muda sio mrefu wataanza kutembeza bakuli achangiwe akatibiwe India

Jinga kabisa

Back
Top Bottom