Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Mkuu labda ungeshauri atoe bidhaa kwa watu wote wachini wawe na bidhaa zao za chini na wajuu tuwe na bidhaa zetu za juu (Hahahahah), sema soko la watu wa chini lina masimango sana, usiombe masikini atoe buku afu asiridhike na hiyo bidhaa,Huyu nae sifa zitakuja zimfilisi abakie historian tu.....kipindi shigongo anamdisi kuhusu gharama za show nilimuona kama hater kumbe alikuwa sahihi......toa bidhaa ambayo hata shabiki yako wa kawaida atanunua.....akanunua mwenyewe na wasafi wenzio.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu labda ungeshauri atoe bidhaa kwa watu wote wachini wawe na bidhaa zao za chini na wajuu tuwe na bidhaa zetu za juu (Hahahahah), sema soko la watu wa chini lina masimango sana, usiombe masikini atoe buku afu asiridhike na hiyo bidhaa,