Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
shosti wewe ni mnafiki hadi basi . ahaaaa jamani nimekuvulia nguoBei nzuri na sio ya bei kubwa, wengi wataweza kununua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shosti wewe ni mnafiki hadi basi . ahaaaa jamani nimekuvulia nguoBei nzuri na sio ya bei kubwa, wengi wataweza kununua.
Nitatumia belagio buku tano tu hahahahhaa 10+msalaUsawa huu wa magu mbona kazi anayo
Kama target yake ni soko upande wa kina mama anaweza kupumua kidogo, sidhani kama wanaume wanaweza kupitia trouble zote za kutoa misimbazi 10+ kua na perfume Lina jina chibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umeniondolea stress aseeMmmh... hapa sina la kusema ngoja nisubiri ya kiba huenda yeye akatujali mashabiki wake akapoza bei kdg
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama mkwe [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Rahisi sana, itakuwa si perfume hiyo, labda ni eau de toilette.
Angetengeneza hata body splash akafanya basi 40 au 50.
Jamn laki plus..
Bora kitu kitoke zaidi kwa bei ya kawaida kuliko bei kubwa afu utokaji wa bidhaa uwe mdgo..
Sijui mshauri wake wa masuala ya uchumi ni nani.
Japo na kaushabiki kwa mbaliiii nakaona ila umetoa bonge moja la point....unajua huyu jamaa angeamua ata kutengeneza ata madaftar tu ya wanafunzi akabandika picha yake angeuza sana coz almost kwa wasanii wa bongo domo anakubalika sana na watt wa kitaani kuanzia primary mpk secondary....siyo izo perfume tena za ghali kiasi icho 100k tsh hahahabaaaa nafwaaaaaazHivi ile clothing line yake aliyoanzisha ya WCB inafanyaje sokoni?
Kama ile ameshindwa hivi kweli perfume nani atanunua kwa hiyo bei? Exposure yote aliyonayo pamoja na kwenda ulaya kila siku bado hajui apart from mziki nini kitampatia pesa matokeo yake yeye kila siku kujaribu jaribu tu mambo.. Mara App sijui ya kuuza mziki, huko hajafanikiwa karukia perfume..
Diamond una jina kubwa sana, clothing line sijui maperfume havijawahi kumtoa msanii yeyote mkubwa hata huko duniani. Tafuta biashara ambayo inagusa matumizi ya watu ya siku kwa siku.. Angalia biashara wanazofanya akina Mo na Bakhressa.. Ushauri tu ebu jaribu hata kutengeneza kinywaji chako, iwe Juice au Soda kama za Azam au Mo hapo utatoboa mara moja maana mashabiki wako wengi ni wanafunzi na watoto wa uswazi ambao hawana kipato kikubwa ukilinganisha na hizo bei unazoweka kwenye bidhaa zako.. Na hata biashara ya Juice mteja mmoja anaweza akawa anakunywa Juice yako angalau mara tatu kwa wiki lakini hizo Perfume na nguo anaweza purchase once in a lifetime.. Akina Pdidy na 50 Cent wao wanatajirikia kwenye liquor sasa wewe si mnywaji basi fanya hata Juice hizo au hata Non-Alcoholic drinks..
Demu wako Wema alikuja na biashara gani sijui lakini pamoja na mvuto wake kwa mashabiki wake alifeli, kuwa tofauti usifate mkumbo na usifanye biashara za sifa (kwamba perfume yangu inauzwa ghali).. Hujafikia level za kutengeneza prestigious products maana mashabiki wako ni watu wa hali ya chini..
Vema sanaHivi ile clothing line yake aliyoanzisha ya WCB inafanyaje sokoni?

Inategemea kawekeza pesa kiasi gani na maligafi zilizotumika unataka kwa perfume 1 atumie gharama ya elfu 80 ajr akuuzie elfu kumi !!Huyu nae sifa zitakuja zimfilisi abakie historia tu.....kipindi shigongo anamdisi kuhusu gharama za show nilimuona kama hater kumbe alikuwa sahihi......toa bidhaa ambayo hata shabiki yako wa kawaida ataimudu....ingekuwa za buku ten au angalau twenty iv tungejichanga.....akanunue mwenyewe na wasafi wenzio.
Daaah,mkuu nakupa 5 star*****Hivi ile clothing line yake aliyoanzisha ya WCB inafanyaje sokoni?
Kama ile ameshindwa hivi kweli perfume nani atanunua kwa hiyo bei? Exposure yote aliyonayo pamoja na kwenda ulaya kila siku bado hajui apart from mziki nini kitampatia pesa matokeo yake yeye kila siku kujaribu jaribu tu mambo.. Mara App sijui ya kuuza mziki, huko hajafanikiwa karukia perfume..
Diamond una jina kubwa sana, clothing line sijui maperfume havijawahi kumtoa msanii yeyote mkubwa hata huko duniani. Tafuta biashara ambayo inagusa matumizi ya watu ya siku kwa siku.. Angalia biashara wanazofanya akina Mo na Bakhressa.. Ushauri tu ebu jaribu hata kutengeneza kinywaji chako, iwe Juice au Soda kama za Azam au Mo hapo utatoboa mara moja maana mashabiki wako wengi ni wanafunzi na watoto wa uswazi ambao hawana kipato kikubwa ukilinganisha na hizo bei unazoweka kwenye bidhaa zako.. Na hata biashara ya Juice mteja mmoja anaweza akawa anakunywa Juice yako angalau mara tatu kwa wiki lakini hizo Perfume na nguo anaweza purchase once in a lifetime.. Akina Pdidy na 50 Cent wao wanatajirikia kwenye liquor sasa wewe si mnywaji basi fanya hata Juice hizo au hata Non-Alcoholic drinks..
Demu wako Wema alikuja na biashara gani sijui lakini pamoja na mvuto wake kwa mashabiki wake alifeli, kuwa tofauti usifate mkumbo na usifanye biashara za sifa (kwamba perfume yangu inauzwa ghali).. Hujafikia level za kutengeneza prestigious products maana mashabiki wako ni watu wa hali ya chini..
Unapakaje perfume. Si kwa kupulizia? Sasa wewe una perfume, chupa, mwenzio ana mtoko. Anataka kupuliza makwapa 2. Upande na upande. Si utampulizia mara mbili? Sasa kama kila kwapa ni shs 500. Atakupa shs 1000 kwa makwapa yote mawili.Am lost
Mpulizo kivipi mkuu?