Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajua biashara , lakini kwa ambao wanapokea mishahara tu hawatajali na hawaangalii kwa jicho la tatu..# kama amejipanga kucompete mamtoni sawa lakin siyo third world countries...Huyu nae sifa zitakuja zimfilisi abakie historia tu.....kipindi shigongo anamdisi kuhusu gharama za show nilimuona kama hater kumbe alikuwa sahihi......toa bidhaa ambayo hata shabiki yako wa kawaida ataimudu....ingekuwa za buku ten au angalau twenty iv tungejichanga.....akanunue mwenyewe na wasafi wenzio.
Congo hatari umenifanya nicheke pekeyangu kama mwehuUnapakaje perfume. Si kwa kupulizia? Sasa wewe una perfume, chupa, mwenzio ana mtoko. Anataka kupuliza makwapa 2. Upande na upande. Si utampulizia mara mbili? Sasa kama kila kwapa ni shs 500. Atakupa shs 1000 kwa makwapa yote mawili.
ingekua 10000 ingepondwa mpaka tusingeitakabora ameweka bei hiyo watanunua wajitambuao si wale wa kushinda insta kupiga majungu wasiojielewa
Rahisi sana, itakuwa si perfume hiyo, labda ni eau de toilette.
Ubunifu bila plan ni upuuzi unazindua perfume unauza 105,000/=what is your target, inaamaana unafanya jambo bila kutazama nani unaekwenda kummuzia,mtanzania shabiki wa Diamond ana uwezo wa hiyo hela.Safi vijana tukiwa wabunifu kwa nyanja mbalimbali tutafika