Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena unakuta hii yangu ya buku 5 inanukia vizuri kuliko hiyo Chibuku
Duh, acha mashabiki zake tuendelee kutumia Kurusumu zetu, perfume ambazo unashauriwa usijipake kama kuna jua maana odor yake huwa inachenge mbaya
Mleta uzi hebu tuweke kaharufu hapa tukasikilizie kidogo huenda tukafungua wallet zetu.
ikishindikana auze mabumunda yaliyokua branded chibu au hata vitumbua basi!!Hivi ile clothing line yake aliyoanzisha ya WCB inafanyaje sokoni?
Kama ile ameshindwa hivi kweli perfume nani atanunua kwa hiyo bei? Exposure yote aliyonayo pamoja na kwenda ulaya kila siku bado hajui apart from mziki nini kitampatia pesa matokeo yake yeye kila siku kujaribu jaribu tu mambo.. Mara App sijui ya kuuza mziki, huko hajafanikiwa karukia perfume..
Diamond una jina kubwa sana, clothing line sijui maperfume havijawahi kumtoa msanii yeyote mkubwa hata huko duniani. Tafuta biashara ambayo inagusa matumizi ya watu ya siku kwa siku.. Angalia biashara wanazofanya akina Mo na Bakhressa.. Ushauri tu ebu jaribu hata kutengeneza kinywaji chako, iwe Juice au Soda kama za Azam au Mo hapo utatoboa mara moja maana mashabiki wako wengi ni wanafunzi na watoto wa uswazi ambao hawana kipato kikubwa ukilinganisha na hizo bei unazoweka kwenye bidhaa zako.. Na hata biashara ya Juice mteja mmoja anaweza akawa anakunywa Juice yako angalau mara tatu kwa wiki lakini hizo Perfume na nguo anaweza purchase once in a lifetime.. Akina Pdidy na 50 Cent wao wanatajirikia kwenye liquor sasa wewe si mnywaji basi fanya hata Juice hizo au hata Non-Alcoholic drinks..
Demu wako Wema alikuja na biashara gani sijui lakini pamoja na mvuto wake kwa mashabiki wake alifeli, kuwa tofauti usifate mkumbo na usifanye biashara za sifa (kwamba perfume yangu inauzwa ghali).. Hujafikia level za kutengeneza prestigious products maana mashabiki wako ni watu wa hali ya chini..
Kajolijo unafurahisha sana.Mmmh... hapa sina la kusema ngoja nisubiri ya kiba huenda yeye akatujali mashabiki wake akapoza bei kdg
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ni cologneHii ni EAU DE TOILLETE au Perfume?
Gucci na Polo [emoji38][emoji38]Hiyo pafyumu imetengenezwa na Jean-Baptiste Grenouille au?
Weka pich taf.
Nafikiri huyo anaetoa laki 4 ananunua perfume yenye brand kubwa za nje na sifikirii huyo mtu kama atakuja kununua hii ya kibongo ya laki..bro kachemka,ni sawa mtu kazoea kunywa CIROC alafu leo hii umnyweshe bia ya kibongoMarket segmentation wachumi tunaita price discrimination, ukiona unalalamika ujue haujalengwa wewe,wapo wabongo ambao wananunua mpaka perfume za laki 4+,Na bidhaa kama hizi hawaangalii volume of sales wanaangalia revenue generation. That's why kuna Carina Ti na Bentley Continental.
Im neither his fan nor hater ila kwa hili nampongeza.