Haha naona ndugu uaminifu zero hehehePerfume inakaa mwilini au kwenye nguo??
Hebu tupia picha ukiwa umeishika hiyo perfume uliyonunua.
Ndio Mara yangu ya kwanza kusikia kuna perfume zinauzwa kwa mpulizo. Yaani unapuliziwa tu unalipa.perfume inabaki kwa muuzajiHiyo ni bei kwa chupa. Mashabiki wake mpaka leo wananunua perfume kwa mpulizo. Kama mpulizo mmoja 500, ukitaka 4 unalipa 2000
Chibu ni Na-sibu yaani tamka 'chibu' kama 'Sibu' = Na-ChibuUsawa huu wa magu mbona kazi anayo
Kama target yake ni soko upande wa kina mama anaweza kupumua kidogo, sidhani kama wanaume wanaweza kupitia trouble zote za kutoa misimbazi 10+ kua na perfume Lina jina chibu
kabla hazijatoka watu walianza zikashifu sasa sipati picha kila mtu angeafford bei kusingekalika huko insta ilimradi tu wamuharibie mtu maana furaha yao kuona mtu anafeli. amewakomoa kwa hiyo bei wamebaki sema hazitatoka zitadoda, wanajifanya wanajua mifuko ya watu kama wana pesa au hawana. yani hapa duniani kuna watu nuksi hatariingekua 10000 ingepondwa mpaka tusingeitaka
Yaan kuna watu kazi yao kuponda hawana jema hata kidogo bora ziuzwe laki zingeuzwa buku 5 pasingetosha Mara feki Mara nani akanunue kurudhumu Binadamu ni sheedakabla hazijatoka watu walianza zikashifu sasa sipati picha kila mtu angeafford bei kusingekalika huko insta ilimradi tu wamuharibie mtu maana furaha yao kuona mtu anafeli. amewakomoa kwa hiyo bei wamebaki sema hazitatoka zitadoda, wanajifanya wanajua mifuko ya watu kama wana pesa au hawana. yani hapa duniani kuna watu nuksi hatari
kama wataka za bei cheee wasubiri serikali ya viwanda ijenge viwanda vya perfume kisha wauziwe kwa bei sh. mia tano. huwezi mpangia mtu bei ya biashara yake cos kila mfanyabiashara kabla hajafungua biashara kichwani anakuwa tayari ajuwa biashara yake italenga watu wa aina gani au watu wa uwezo gani. kama mtu anaona bei mbaya akanunue ya bei awezayo, ya nini kulia kulia wakati tuko ulimwengu wa masoko unapata kitu kulingana na mfuko wakoYaan kuna watu kazi yao kuponda hawana jema hata kidogo bora ziuzwe laki zingeuzwa buku 5 pasingetosha Mara feki Mara nani akanunue kurudhumu Binadamu ni sheeda
yaniii we acha tu.kabla hazijatoka watu walianza zikashifu sasa sipati picha kila mtu angeafford bei kusingekalika huko insta ilimradi tu wamuharibie mtu maana furaha yao kuona mtu anafeli. amewakomoa kwa hiyo bei wamebaki sema hazitatoka zitadoda, wanajifanya wanajua mifuko ya watu kama wana pesa au hawana. yani hapa duniani kuna watu nuksi hatari
ndio hivyo...cha msingi ni quality kama iko na quality nzuri inayoendana na bei yake itauzika tuu hata ingekuwa kwa bei ya milioniyaniii we acha tu.
halafu sasa hawajui mjini hapa watu wananunua mikorogo mpaka 80000 hadi laki na nusu ...
watu wanapesa
We unayo hata ya kshs 15?
unataka ngapi nikupe mummy??We unayo hata ya kshs 15?
Sema utamuelewa wewe binafsi sio mutamulelewa..Mbona mimi namuelewa lakini sisemi tunamuelewa 😀Huyu mtoto anajua sembe 1kg ni 2000!!! Atoe sembe ya daimond 1600 kwa 1kg tutamuelewa.