Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Hiyo ni bei kwa chupa. Mashabiki wake mpaka leo wananunua perfume kwa mpulizo. Kama mpulizo mmoja 500, ukitaka 4 unalipa 2000
Ndio Mara yangu ya kwanza kusikia kuna perfume zinauzwa kwa mpulizo. Yaani unapuliziwa tu unalipa.perfume inabaki kwa muuzaji
 
Usawa huu wa magu mbona kazi anayo

Kama target yake ni soko upande wa kina mama anaweza kupumua kidogo, sidhani kama wanaume wanaweza kupitia trouble zote za kutoa misimbazi 10+ kua na perfume Lina jina chibu
Chibu ni Na-sibu yaani tamka 'chibu' kama 'Sibu' = Na-Chibu
 
ingekua 10000 ingepondwa mpaka tusingeitaka
kabla hazijatoka watu walianza zikashifu sasa sipati picha kila mtu angeafford bei kusingekalika huko insta ilimradi tu wamuharibie mtu maana furaha yao kuona mtu anafeli. amewakomoa kwa hiyo bei wamebaki sema hazitatoka zitadoda, wanajifanya wanajua mifuko ya watu kama wana pesa au hawana. yani hapa duniani kuna watu nuksi hatari
 
Yaan kuna watu kazi yao kuponda hawana jema hata kidogo bora ziuzwe laki zingeuzwa buku 5 pasingetosha Mara feki Mara nani akanunue kurudhumu Binadamu ni sheeda
 
kama wataka za bei cheee wasubiri serikali ya viwanda ijenge viwanda vya perfume kisha wauziwe kwa bei sh. mia tano. huwezi mpangia mtu bei ya biashara yake cos kila mfanyabiashara kabla hajafungua biashara kichwani anakuwa tayari ajuwa biashara yake italenga watu wa aina gani au watu wa uwezo gani. kama mtu anaona bei mbaya akanunue ya bei awezayo, ya nini kulia kulia wakati tuko ulimwengu wa masoko unapata kitu kulingana na mfuko wako
 
Chibu....jina baya kwa kwel haljanivutia kabisa
Bora hata angeiita diamond au platinums
Siez kutumia perfume et inaitwa chibu NO not me
 
kabla hazijatoka watu walianza zikashifu sasa sipati picha kila mtu angeafford bei kusingekalika huko insta ilimradi tu wamuharibie mtu maana furaha yao kuona mtu anafeli. amewakomoa kwa hiyo bei wamebaki sema hazitatoka zitadoda, wanajifanya wanajua mifuko ya watu kama wana pesa au hawana. yani hapa duniani kuna watu nuksi hatari
yaniii we acha tu.
halafu sasa hawajui mjini hapa watu wananunua mikorogo mpaka 80000 hadi laki na nusu ...
watu wanapesa
 
ndio hivyo...cha msingi ni quality kama iko na quality nzuri inayoendana na bei yake itauzika tuu hata ingekuwa kwa bei ya milioni
 
kama alishindwa kwenye nguo ambazo zilikuwa zinauzwa chini ya elfu 20 hapo kwenye perfume anajidanganya tu.
 
Back
Top Bottom